La nje GUANTANAMOKatika hali ya kushangaza,
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ametumia sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kumtakia heri ya sikukuu hizo mbunge wa upinzani Millie Odhiambo ambaye mapema mwezi huu alimtukana kwa njia ya video kupitia Runinga na baadae mitandao ya kijamii....
Kitendo hicho Kiliwashangaza waKenya wengi waliodhani kuwa huenda Mbunge huyo angeshtakiwa kwa kitendo hicho ila Raisi huyo alidai Ukiwa baba wa familia lazima ukomae Kichwa na uwe mvumilivu kwani kila mtoto ana Tabia yake. ....
Naomba mnichagulie gereza la kumfunga huyo ikitokea Tz. ...
Alimwambia ni msh.en.ziAlimtukana tusi gani/alimtukanaje?
Mkuu ngoja na mimi nitest kumtukana Bwana yule![emoji1]Alimwambia ni msh.en.zi
hebu weka hayo matusi.... hata hivyo labda sheria zao zina ruhusu kuwatusi viongozi kwa hiyo ni uamuzi wake...Katika hali ya kushangaza,
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ametumia sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kumtakia heri ya sikukuu hizo mbunge wa upinzani Millie Odhiambo ambaye mapema mwezi huu alimtukana kwa njia ya video kupitia Runinga na baadae mitandao ya kijamii....
Kitendo hicho Kiliwashangaza waKenya wengi waliodhani kuwa huenda Mbunge huyo angeshtakiwa kwa kitendo hicho ila Raisi huyo alidai Ukiwa baba wa familia lazima ukomae Kichwa na uwe mvumilivu kwani kila mtoto ana Tabia yake. ....
Naomba mnichagulie gereza la kumfunga huyo ikitokea Tz. ...
Teh teh teh teh dah ingetokea hapa kwetu Pogba huyu ninayemjua angeua kwa mkono wake huyu mbunge asingepelekwa gerezaniKatika hali ya kushangaza,
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ametumia sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kumtakia heri ya sikukuu hizo mbunge wa upinzani Millie Odhiambo ambaye mapema mwezi huu alimtukana kwa njia ya video kupitia Runinga na baadae mitandao ya kijamii....
Kitendo hicho Kiliwashangaza waKenya wengi waliodhani kuwa huenda Mbunge huyo angeshtakiwa kwa kitendo hicho ila Raisi huyo alidai Ukiwa baba wa familia lazima ukomae Kichwa na uwe mvumilivu kwani kila mtoto ana Tabia yake. ....
Naomba mnichagulie gereza la kumfunga huyo ikitokea Tz. ...
Mkuu ushatengeneza jeneza la kuzikwa na kugawa mali ulizonazoMkuu ngoja na mimi nitest kumtukana Bwana yule![emoji1]
Weeee tema mate chini!!!!!!!Mkuu ngoja na mimi nitest kumtukana Bwana yule![emoji1]
Tanzania kuna magereza mengi halafu kumbuka mh.mwenyekiti wa chama tawala alisema mfungwa hawezi kuishi kama yupo sheraton.Mkuu ngoja na mimi nitest kumtukana Bwana yule![emoji1]
Katika hali ya kushangaza,
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ametumia sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kumtakia heri ya sikukuu hizo mbunge wa upinzani Millie Odhiambo ambaye mapema mwezi huu alimtukana kwa njia ya video kupitia Runinga na baadae mitandao ya kijamii....
Kitendo hicho Kiliwashangaza waKenya wengi waliodhani kuwa huenda Mbunge huyo angeshtakiwa kwa kitendo hicho ila Raisi huyo alidai Ukiwa baba wa familia lazima ukomae Kichwa na uwe mvumilivu kwani kila mtoto ana Tabia yake. ....
Naomba mnichagulie gereza la kumfunga huyo ikitokea Tz. ...
Kenyatta ni mwanasiasa aliyekomaa Sana, Magufuli ni Dikteta Kama Walivyo kina kagameKatika hali ya kushangaza,