Elections 2010 Raisi wa Kwanza Duniani katokea Tanzania

Elections 2010 Raisi wa Kwanza Duniani katokea Tanzania

ndeukoya

Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
34
Reaction score
0
Any comments?

1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake
2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi
3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini
4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu wake unatokana na nini.
5. Rais wa kwanza duniani kuchakachuliwa mafuta kwenye gari yake ikazima barabarani
6. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha bora!
7. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu)
8. Rais wa kwanza aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni kiherehere chao....
9. Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.
10.Rais wa kwanza duniani aliyetumia mabango yote ya biashara nchini kwake kujinadi wakati wa kampeni mpaka picha zake za utoto.

11.Rais wa kwanza duniani aliyesema hahitaji kura za wafanyakazi

12. Rais wa kwanza duniani anayefanyiwa kampeni na mke na mtoto wake pekee.

13. Rais wa kwanza duniani anayependa sana totoz

14. Rais wa kwanza duniani aliyechaguliwa kwa kuwa na sura nzuri
15. Rais wa kwanza duniani anayetoa ahadi ambazo kimsingi hazitatekelezeka
16. Rais wa kwanza kuwaiga wapinzani wake kutumia Helikopta katika kambeni zake za kugombea urais
17. Raisi wa kwanza duniani kuogopa Mdahalo
18. Rais wa kwanza duniani aliyetumia wanamuziki wa bongo flava kwenye kampeni zake
19. Rais wa kwanza duniani aliyetumia gari mpya (New Model) wakati wa kampeni.


NB

unaruhusiwa kuongeza sifa iliyosahaulika...

Regards,

Mimi
 
...............mwishowe wakatae ushabiki na mkumbo badala yake watafute wanachama wa kweli sio wale wapuuzi wa JAMII FORUMS ambao wengi wao wapo nchini Marekani katika miji ya Detroit,Michigani na New York ambao waliondoka Tanzania miaka mingi na huwa hawapigi kura na hawana hamu ya kupiga kura badala yake wanafanya blah! blah! tu....................Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com

..................... you need physocological help nova!
 
Back
Top Bottom