Raisi wa TFF katumia ubabe mkubwa kupekeka michuano ya Ngao ya jamii katika mkoa wake wa Tanga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hilo halina ubishi kabisa, na lisipotolewa macho tusije kushangaa fainali zote zikaishia tanga ili bwana mkubwa afurahi yeye na moyo wake.

Huu ni upendeleo wa hali ya juu angalia mkoa Kama songea Mara ya mwisho kwenda/kupata mechi Kama hizo haifahamiki ilikua lini? Lakini pia Kuna uwanja Kama CCM kirumba mwanza hakika unastahili pakubwa tu katika kupata michuano Kama hii.

Tanga imependelewa katika fainali ya Kombe la FA Yanga na Azam walicheza pale lakini Cha ajabu kombe la ngao ya jamii nalo limerudi pale kuanzia nusu mpaka fainali.

Uwanja wa Tanga siyo Bora na hakuna muamko wa mashabiki Kama sehemu nyingine.

Karia na kikosi chake TFF wanapaswa kutakari kwa hiki walichokifanya tofauti na hapo kila Raisi atakae kuja atakua anapeleka kwao/mkoa aliotoka hata Kama hakuna vigezo.
 
HATA ULICHONKIANDIKA HAKIELEWEKI.

Mtu MWENYE AKILI TIMAMU angepropose Angalau Ujenzi WA UWANJA Mkubwa na Wakisasa ujengwe Dodoma nk.

USIWE UNALIALIA SANA WEWE NI MWANAUME.

UNATAKIWA UTOE SULUHU LA CHANGAMOTO SIO KULIALIA.

CHEnzi
 
Kama huwezi kujikita kwenye hoja kwa nini usipumnzike na bwana ako[emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hilo halina ubishi kabisa, na lisipotolewa macho tusije kushangaa fainali zote zikaishia tanga ili bwana mkubwa afurahi yeye na moyo wake.

Huu ni upendeleo wa hali ya juu angalia mkoa Kama songea Mara ya mwisho kwenda/kupata mechi Kama hizo haifahamiki ilikua lini? Lakini pia Kuna uwanja Kama CCM kirumba mwanza hakika unastahili pakubwa tu katika kupata michuano Kama hii.

Tanga imependelewa katika fainali ya Kombe la FA Yanga na Azam walicheza pale lakini Cha ajabu kombe la ngao ya jamii nalo limerudi pale kuanzia nusu mpaka fainali.

Uwanja wa Tanga siyo Bora na hakuna muamko wa mashabiki Kama sehemu nyingine.

Karia na kikosi chake TFF wanapaswa kutakari kwa hiki walichokifanya tofauti na hapo kila Raisi atakae kuja atakua anapeleka kwao/mkoa aliotoka hata Kama hakuna vigezo.
Halafu nimesikia anataka kujenga uwanja wa mpira wa kisasa kama ule wa azam kule kijijini kwa msomera, Handeni.
Anasubiria tu mgao wa simba wa african super league akimegewa tu fungu aanze ujenzi.
 
Back
Top Bottom