Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Za asubuhi na za kwenu , rahisi yupi umewahi mpenda na ukaona atafanya mabadiliko kwenye hizi nchi mbili
Amerika nilimpenda sana George Bush Kwa sababu alikuwa hataki utani mwanga ugali na mwaga mboga .
Tanzania wote tu
Baba wa taifa Kwa Raha zake nchi ilikuwa yenye maadili , hela mpaka tuliipita Kenya shillingi yetu ilikuwa juu. Mashoga walikuwepo wengi sana . Ila walijificha , hata wale Malaya Kimya waliheshimu uhuru
Raisi mwingi kila kitu ruksa , haya weeh alifanya wahindi watuletee tv za black and white .
Raisi Kikwete huyu baba nilimpenda ongea yake alivyoo na Wala sikuhitaji abadili kitu ila kumuona tu yupo anaongea ongea na kula Raha sana .
Raisi Mkapa , alikuwa anajua anajitambua , anajichukua na kujipenda
Raisi mwingine John Pombe Magufuli huyu Mzee katupeleka puta ila nampenda sana hujui tu.
Mwingine ni huyu
Maza wa heshima sijui anafanya Nini hadi Sasa ila namkubali maana anajitahidi na maamuzi yake ni yabusara maana kama sio tungekuwa pabaya ila namkubali Sana. Kwanza kuongoza wanaume aisee hii ni nzuri sana . Umeupiga mwingi Raisi wangu mama kifaa Cha wanawake najua sio wote wanakupenda hapana ila mie napenda tu upo juu ya Hawa wanaume .
Maraisi wangu wote watanzania na Visiwani niliwapenda wote niliwaaminia Kwa kazi nzuri hapo mnaubaguzi sana .
Kwenu nyie mlimpenda Raisi yupi na kwanini