Elections 2010 Raj Patel Jr. Adai Hakuna Rushwa, Adai Wapinzani Wabaguzi!

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,702
From the Mouth of the Horse . . . . .

JK and CCM have managed to steer this country towards peace, harmony and prosperity. Vote CCM, Vote JK!



Source: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/72112-kikwete-in-black-and-white-4.html

 
Sijui pakuanzia . . . ngoja nitulie kwanza, then i will come back!
 
Sijui pakuanzia . . . ngoja nitulie kwanza, then i will come back!

And you know what superman. This is not a coincidence maana hata viongozi wa CCM wana mawazo kama hayo.
 
Haiingii akilini, kwa nchi ambayo imejaaa corruption, someone anadai hakuna corruption - Tume ya Warioba ilishadhihirisha hilo acha proofs nyingi ambazo zipo.

Ubaguzi? Kuna rangi isiyo nyeusi aliwahi kwenda oppossition akafukuzwa?

Aliyekuwa ana-Champion sera za uzawa ni wa chama gani?

Kwa kweli nimechoooooka!
 
guys never mind Patel, he is Indian what do you expect him to say? probably he does not know what corruptions means especially if he is from the country where corruption is normal way of life.
 



hawa ndo wanaiba uchumi wetu

Ngoja nijiandae nitarudi kuchangia
 
Tuwe makini sana na hawa Watanzania wenye asili ya ... Kwa nini hii nchi isiongozwe na kutawaliwa na Watanzania watanzania?
 
Mwenye Akili haambiwi pambanua . . . .

He might be sending a message to Tanzanians . . . . and the message is very simple and clear . . .

Who can guess?
 
Akichangia kwenye thread ya Zitto anadai:

 
He acknowledges the presence of corrupt incumbent politicians, yet says the country is being steered well into prosperity.
JK and CCM have managed to steer this country towards peace, harmony and prosperity. Vote CCM, Vote JK!
He sure knows his priorities!

From the Mouth of the Horse . . . .
Superman, you have linked a username and photo to this person, I don't know how sure you're with the true ID of the person as there have been other Rajes and Patels at JF before him. You best check, it might just be a coincident with this common name.
 

With caution:

The Search of several photos Raj Patel Jr. was connected to this image repeating with same face but different pictures.

Kama ina utata MODS waamue cha kufanya!
 
na akija mwengine akijiita bill clinton tutasaka picha yake pia na kumfungulia thread? tena BREAKING NEWS!?


akija mwengine akajiita Benjamin Mkapa?


hapa kuna zaidi ya tunachokiona.................au ndio ilitakiwa kuibua masuala ya 'wasio weusi' kama wengi walivyo changia?

kazi tunayo watanzania SMH
 
na akija mwengine akijiita bill clinton tutasaka picha yake pia na kumfungulia thread?

kazi tunayo watanzania :confused2:

Simple search with caution can tell you if 1+1=2 or not.

Remember this is JF!

If not, just read the content, leave to the MODS!

Simple and Clear!
 
umewahi kuona mtz asili akioana na akina patel?
umewahi kuona wakiswali kwenye mahekalu na jamaat zao ambazo zao na wabongo?
the true xenophobia na racism wanao wao wenyewe na wanapoona 'mipenyo' iko hati hati huishia kununua viongozi wabovu hufungia watoto wao ndani ili 'wasichafuliwe'
 
kwa kuwa this is JF ndio nikaweza kutoa maoni ninayotakia vile vile.

Hatuko hapa kukubaliana katika kila hoja au JF itaacha kuwa uwanja wa kujadiliano.
 
kwa kuwa this is JF ndio nikaweza kutoa maoni ninayotakia vile vile.

Hatuko hapa kukubaliana katika kila hoja au JF itaacha kuwa uwanja wa kujadiliano.

Supported 100%

And what I meant is That : "JF is a Home of Great Thinkers". Vichwa vyote viko hapa. Nchi, Serikali, Wananchi na vyombo vya habari vinafuatilia.

Of course wanachuja pumba na chuya.

Again, the message is so clear.
 
Superman naona umesahau tu kuweka na wasifu wa huyo Raj Patel.

Kama ulivyoweza kupata picha 'yake' kwenye net, basi bila ya shaka ungeweza kutuwekea na wasifu wake kiukamilifu ili tupembue vizuri hizo mchele na chua.

naona kwa tunakoelekea na huu uzalendo wetu tutawafanya watu waogope hata kuwa na role models wenye majina yanayo fanana na watu wa asia hasa India.
 

Go ahead, search na weka huo wasifu wake. Si lazima nifanye mimi. Hoja yangu ya kuanzisha thread ilikuwa kuona kama ni kweli nchi hii hakuna rushwa? Na ni kweli wapinzani wana ubaguzi.

Umeamua kutoka nje ya hoja. Yes, this is the Home of Great Thinkers! Should I say more?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…