Raja AC yashtushwa na kipigo alichotoa Simba kwa Horoya

Raja AC yashtushwa na kipigo alichotoa Simba kwa Horoya

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Dunia nzima bado inajadili tetemeko la Samba Loketo lililotokea siku ya Jumamosi mjini Dar es Salaam.

Moja wa mahasimu wakubwa wa Simba SC barani Afrika, Raja AC nao wameonekana kushtushwa na ubora na wingi wa magoli ambayo Simba walimtandika Horoya.

Tukumbuke Raja alimfunga Horoya kwa shida sana vigoli 2-0 na 3-1 pale walipokutana.

Embu jionee mwenyewe reaction ya Raja kutokana na ushindi wa Simba.

20230320_134423.jpg
 
Na hiki ndicho tutakacho mfanya Yanga mapema mwezi ujao..
 
Narudia tena kwa msisitizo hiko ndicho tutakachomfanya utopolo mapema mwezi ujao..
Simba anatisha hata wao wanajua hilo. Robertinho ameprove anaweza kumfunga Nabi.

Halafu wanatamani eti kuchukua kombe kwenye hiyo game, waache waje mbona tutawafurahisha 🤣😂🤣
 
Back
Top Bottom