Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Timu ya Namungo iko ugenini nchini Morocco kukipiga na Raja Casablanca kwenye michuano ya Shirikisho Afrika hatua ya makundi. Mpira uko mapumziko na mpaka sasa Raja Casablanca na Namungo hakuna alieona nyavu za mwenzake. Kuwa nami kukujuza ngwe ya pili ya mchezo huu.
=======
45' Kipenga kimepulizwa kuashiria kuanza kwa kipindi cha pili
49' Boyan Omar anaingia baada ya mchezaji wa Raja kuumia mchezoni
52' Raja Casablanca wanapata Penalti baada ya Perenge kuunawa ndani ya 18
53' Sufian anaweka goli la kwanza kwa Raja kwa mkwaju wa penalt.
66' Kadi nyekundu kwa Haruna Shamte
90' Mpira umekwisha