Raja Casablanca fans tukutane hapa

Pia niwakumbushe tu kuwa Raja Athletic club ndio klabu pekee iliyotoa wachezaji wengi(3) kwenye kikosi Bora cha week Cafcl [emoji91][emoji91][emoji1732][emoji1732]
Hawa Simba naskia wao wametoa wachezaji watatu ambao ni flops of the week (Bocco, baleke,Kibu d)
 
Mwisho Wa Ubaya Ni Aibu
Aibu Itakuwa Kubwa Na Nzito


Heri Heri Heri Nyingi Kwa Simba Sports Club Na Yanga Sports Club



Kwakuwa Ni International Games Tupeni
Utani Wetu Wetu Utabaki Kwenye League Yetu
 
Huu ni uzi maalumu kwa mashabiki wa Raja Athletic club na hauna mahusiano na klabu yoyote ile. Nashangaa mashabiki wa Simba mnavotoa matusi na malalamiko[emoji1]
 
Hakuna timu duniani inaitwa Raja Casablanca kwa hiyo nyie ni mashabiki hewa.

Kila la kheri mfalme wa mwituni. Nyie wengine mnaocheza weekend hii lolote liwakute.
 
Nipo nacheki CCTV camera za matukio ya jana usiku kwa mkapa asee jana watu wamefanya uchafu sana pale uwanjani.

Ila Raja 🦅🦅💚 bado Yuko katika nafasi nzuri ya kushinda
 
Nipo nacheki CCTV camera za matukio ya jana usiku kwa mkapa asee jana watu wamefanya uchafu sana pale uwanjani.

Ila Raja [emoji1659][emoji1659][emoji172] bado Yuko katika nafasi nzuri ya kushinda
Mkuu Ni watu wajinga pekee ndio huamini uchawi kufanikisha mambo yao. Yaani wahangaike kumsajili Sawadogo na baleke halafu wategemee uchawi uwavushe[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…