Raja Casablanca fans tukutane hapa

Nipo nacheki CCTV camera za matukio ya jana usiku kwa mkapa asee jana watu wamefanya uchafu sana pale uwanjani.

Ila Raja [emoji1659][emoji1659][emoji172] bado Yuko katika nafasi nzuri ya kushinda
Wamef*rana nini?
 
Tumekuja kuwateketeza [emoji3548][emoji3548][emoji3548][emoji375]
 
Yani kaenda kuanzisha Id mpya ili awe mwarabu....aiseee Tanzania tuna safari ndefu...kwanza huu uchawi wa chuki baina ya Timu hizi mbili hiyo ya Taifa tusahau kuja kufanya vzr..
Kalpana, kutokushangilia Simba au Yanga haimaanishi kuwa ni ukosefu wa uzalendo.

Labda kama wewe ni mshabiki wa timu mojawapo, lakini kama sivyo, basi utakubaliana na mimi kuwa timu hizi hazina lolote ila ni mpira wa mdomoni tu ndio umetawala. Huo ni ukweli na wala sio chuki.

Timu hizi zinapaswa kuwa halisi na kuepuka siasa siasa... La sivyo miaka nenda miaka rudi, mwendo utakuwa ni kusindikiza wenzetu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…