Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
MZEE MATIMBWA KIONGOZI WA KWAYA YA TANU 1954 ANAKUMBUSHA NYIMBO ZA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHAMA
Mzee Rajab MATIMBWA ni kati ya wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU mwaka wa 1954.
Licha ya kuwa mwanachama yeye na wenzake waliunda kwaya kuhamasisha Watanganyika kujiunga na TANU kudai uhuru.
Leo kanitembelea nyumbani na kaniimbia nyimbo walizokuwa wanaimba katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja.
Sikiliza hazina hii ya nyimbo chache alizoniimbia.