Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 May 5, 2022 #1 MZEE MATIMBWA KIONGOZI WA KWAYA YA TANU 1954 ANAKUMBUSHA NYIMBO ZA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHAMA Mzee Rajab MATIMBWA ni kati ya wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU mwaka wa 1954. Licha ya kuwa mwanachama yeye na wenzake waliunda kwaya kuhamasisha Watanganyika kujiunga na TANU kudai uhuru. Leo kanitembelea nyumbani na kaniimbia nyimbo walizokuwa wanaimba katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja. Sikiliza hazina hii ya nyimbo chache alizoniimbia. https://www.facebook.com/
MZEE MATIMBWA KIONGOZI WA KWAYA YA TANU 1954 ANAKUMBUSHA NYIMBO ZA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHAMA Mzee Rajab MATIMBWA ni kati ya wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU mwaka wa 1954. Licha ya kuwa mwanachama yeye na wenzake waliunda kwaya kuhamasisha Watanganyika kujiunga na TANU kudai uhuru. Leo kanitembelea nyumbani na kaniimbia nyimbo walizokuwa wanaimba katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja. Sikiliza hazina hii ya nyimbo chache alizoniimbia. https://www.facebook.com/
Pep JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,338 Reaction score 5,488 May 5, 2022 #2 Ahsante kwa historia Tizama ramani utaona nchi nzuri, melody nzuri sana. Kwa minajili hii basi inaonekana wimbo wa taifa tulio nao sasa MZEE MATIMBWA anao mkono wake pale Nasema uongo mzee Mo?
Ahsante kwa historia Tizama ramani utaona nchi nzuri, melody nzuri sana. Kwa minajili hii basi inaonekana wimbo wa taifa tulio nao sasa MZEE MATIMBWA anao mkono wake pale Nasema uongo mzee Mo?
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 May 5, 2022 Thread starter #3 Pep said: Ahsante kwa historia Tizama ramani utaona nchi nzuri, melody nzuri sana. Kwa minajili hii basi inaonekana wimbo wa taifa tulio nao sasa MZEE MATIMBWA anao mkono wake pale Nasema uongo mzee Mo? Click to expand... Pep... Hakika Mzee Rajab ana mengi.
Pep said: Ahsante kwa historia Tizama ramani utaona nchi nzuri, melody nzuri sana. Kwa minajili hii basi inaonekana wimbo wa taifa tulio nao sasa MZEE MATIMBWA anao mkono wake pale Nasema uongo mzee Mo? Click to expand... Pep... Hakika Mzee Rajab ana mengi.