Mafyangula JF-Expert Member Joined Jan 16, 2025 Posts 557 Reaction score 1,039 Oct 15, 2025 #1 Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano. So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba na uchawa ============= Kada Wa Chama Cha Mapinduzi Rajab Nyangasa Akiwaonya Wanao hamasisha Maandamano na Kusema kuwa ni Washamba na Wana Roho mbaya Dhidi ya Watanzania Nyangasa Amesema Hayo Alipokuwa Kwenye Kampeni za Uchaguzi Akimuombea Kura Mgombea Udiwani Kata ya Sandali - Temeke Ndugu Mrisho Hassan Kamba. Your browser is not able to display this video.
Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano. So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba na uchawa ============= Kada Wa Chama Cha Mapinduzi Rajab Nyangasa Akiwaonya Wanao hamasisha Maandamano na Kusema kuwa ni Washamba na Wana Roho mbaya Dhidi ya Watanzania Nyangasa Amesema Hayo Alipokuwa Kwenye Kampeni za Uchaguzi Akimuombea Kura Mgombea Udiwani Kata ya Sandali - Temeke Ndugu Mrisho Hassan Kamba. Your browser is not able to display this video.
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,314 Reaction score 93,919 Oct 15, 2025 #2 Hawa mikundub siku yao imefika.
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 4,794 Reaction score 5,411 Oct 15, 2025 #3 Kama ni washamba hofu inatoka wapi?! Mwalimu Nyerere alisema mnyonge hana cha kupoteza zaidi ya unyonge wake.
Kama ni washamba hofu inatoka wapi?! Mwalimu Nyerere alisema mnyonge hana cha kupoteza zaidi ya unyonge wake.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Oct 15, 2025 #4 Hizo nyumba kama mabanda ya kuku hapo nyuma yake ziko Dar es Salaam??