Mwenyekiti anakiuwa chama hivi hivi,
Siasa inahitaji ushawishi unamuweka katibu hana hata ushawishi Zanzibar
AMSHA AMSHA hana kapoa kama msemaji wa yanga
Unamtoa kambaya kurugenzi habari Cuf unamuweka ngurangwa kapoa hana hata amsha amsha,
Chama kimegeuka ni kikundi cha kupiga selfie tu na mademu lakini ushawishi wa kisiasa hakuna,,
Cuf inakwenda kushuka daraja kama Singida united,, na kwa Lipumba huyu chama kitakufa mazima..