BRAVER
Senior Member
- Jun 23, 2015
- 105
- 95
Shamanic ya $29 yataifishwa
[http
Waziri wa Fedha Dakta Philip Mpango leo amekagua shehene ya Alimasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa Dar es salaam iliyofanyiwa makadirio hafifu ikiwa ni nusu ya makadirio halisi iliyokuwa isafirishwe kwenda nje ya nchi.
Waziri wa fedha Dkt Philip Mpango ameambiwa Almasi ya thamani ya dola za Marekani milioni 29 ilithaminishwa kwa dola milioni 19
Aidha kiwango cha almasi kilichothamishwa na wamiliki mgodi wa Mwadui ni chini ya kiwango ambapo baada ya waziri kupewa taarifa na maafisa wa TRA juu ya sheria ya mali inayokamatwa kwa udanganyifu inatakiwa kutaifishwa na serikali ndipo waziri Mpango aliamuru Almasi hiyo kutaifishwa.
Waziri Mpango ambaye aliongozana na maafisa waandamizi wa serikali ikiwa ni pamoja na Mkurugenzi wa Mashitaka Biswalo Mganga, Msajili wa Hazina Dk. Oswald Mashindano, Kamishna wa Kanda maalumu ya Dar es salam Lazaro Mambosasa, Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Brigedia Generali John Julius Mbungo na maafisa wa Mamlaka ya kodi ya Mapato TRA
$29,000,000=TZS.64,887,231,303. Hii ni kwa mwaka mmoja. Je, tangu mgodi uanze nimepata ngapi?.Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app