Rajoelina wa Madagascar amepinduliwa na jeshi

Yaani ninyi kum@ mpaka kufikia 2030 mkae muelewe nchi zote zinazooongozwa na ******* zitapinduliwa ,hii ni movement na huwezi pinga ***** yoyote , tena tarehe 29 naanza na machoko kana ninyi owa kuwapaka makslioni baby oil ya pdidy kumanina zenu
17 days to go, ongezeni juhudi
 
Hata wa kwetu wanaweza. Ile clip ya Captain Tesha ni ushahidi tosha. Ni vile tu hawajaamua kuwaondoa wahuni kwenye mirija ya ulaji.
Tesha siyo captain wa Jeshi bali mfuasi wa Askofu Josephat Gwajima
 
Safi Sana
 

Umeandika kwa unyonge sana ndugu. KulIkoni? Kwani alikuwa mshirika?

Stuxinet, imhotop Kuna ndugu yenu anahitaji faraja huku.
 
Matusi mengine mnajitakia. Watu wana hasira, wewe unaleta mitazamo yako na ambayo unafahamu fika itawaongezea hasira. Wakati mwingine ukiona mada kama hizi, fanya kuzipotezea tu ili siku yao iende vizuri.
Kunywa maji baridi glass moja kupunguza hasira. Itakusaidia
 
Umeandika kwa unyonge sana ndugu. KulIkoni? Kwani alikuwa mshirika?

Stuxinet, imhotop Kuna ndugu yenu anahitaji faraja huku.
Kwa nini? Unatumia kipimo gani kujuwa nimeandika kwa unnyonge?

Andry Rajoelina aliingia kwa maandamano mwaka 2009 na anatolewa kwa maandamano mwaka 2025. What comes around goes around
 
Madagascar jeshi limechukua udhibiti wa nchi bila umwagaji damu kwa kushirikiana na wananchi.

Kwa kifupi mpaka hapa serikali imeshapinduliwa na jeshi + wananchi, hata tukisema bado iwepo itaongoza wakina nani ? jeshi limeasi na wananchi wamemkataa


Jeshi + wananchi tunaenda kuwapindua mafisadi tarehe 29 kwa amani mchana kweupe, kuwapindua mafisadi haliwezi kuwa kosa kisheria jeshi kuto kutii amri za mafasida sio kosa kishwria, bali ni hatua bor kuelekea mabadiliko makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…