TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604

Kwa vichwa vingi vya rap/hip-hop inaaminika huyu jamaa ndio mkali kabisa aliyewahi kufanya. Na kwa baadhi ya washabiki wa rap, wanaamini kwenye rap hakuna mapenzi, ni 'ugumu' mwanzo mwisho. Rap/Hip-hop haimaanishi ugumu, ni uhalisia, na kila binadamu ana mapenzi. Here the Incredible Mathematician himself shows the kids how it's done true hip-hop way, and still got her fiending for more. Talking nasty, but with class.