Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
klopp amemsifia sana mjerumani huyuHuyo kocha ni Valverde aliyechangamka!!
Sio Kila akusifiae anakukubali mwingine anakujokiklopp amemsifia sana mjerumani huyu
klopp amemsifia sana mjerumani huyu
Yule mla bata wa kibrazil?Wangemchukua ronaldinho
kila siku anakesi za bangi, mess ndio Yesu wakeYule mla bata wa kibrazil?
Yule abaki vilevile tukila siku anakesi za bangi, mess ndio Yesu wake
Kama ananguvu akacheze michezo mingine na vile maarufu arafanikiwa. Onlyfans wanamhitaji sanaYule abaki vilevile tu
RB leipzin ni nini? Mfano DTB msimu ujao ipande ligi kuu utasema kocha wao ndio kawatoa matopeniIngawa mechi ijayo Karick ataendelea kuisomamia Man United ila mechi inayofuata atakuwepo. Kocha wa Liverpool amesema ni hatua nzuri kwa Man U kumchukua kocha huyo kwani amefanya mengi kwenye mpira wa miguu. Ikumbukwe Klop na Huyu kocha waliingia katika bifu kubwa wakati akiifundisha Shalk. Moja ya timu alizozitoa matopeni na kuzileta katika dunia ya ushindani ni Hoffenheim and RB Leipzin . Kocha anamiaka 63. Hivi ni kweli ujio wa kocha huyu ni habari mbaya kwa timu zingine?
Kampuni ya redbull ilinunua timu ikabadilisha na jina ikawa RB leipzig ikasajili wachezaji wenye uwezo mkubwa na kocha mkubwa sasa unasemaje kocha kawatoa matopenMafanikio ya kocha anawajibika zaidi kocha na ndio maana watu ambao wanaajuriwa mara nyingi zaidi na kufukuzwa mara nyingi zaidi
Ndio.nina imani ipo siku nitamuona akiwa kochaYule mla bata wa kibrazil?
Kwa uimara wa kikosi upo sahihi.Ukimtoa klopp bado sijaona kocha wa kumtingisha Pep na man city yake.
Mr upara ni shida nakumbuka hapo kati kwa sababu ya majeruhi aliwapa nafasi madogo lakini moto ulikua ule ule...juzi tu ile beki ya kushoto kaiweka mbele kama mshambuliaji na psg wakala kichapoKwa uimara wa kikosi upo sahihi.