Ralf Rangnick kocha mpya wa Manchester united kwa mkataba wa miezi 6

Huyo anachukuliwa kama Caretaker Coach lakini akifanya vizuri kwa mfano kuingiza timu kwenye nne bora basi bila shaka atapewa mkataba kamili.

Tusubiri tuone itakuwaje kwani morali imekuwa chini mno na wachezaji wanacheza tu lipua lipua.
 
Huyo kocha akikutana na pep huwa anachezea kipigo cha mbwa Koko [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…