Rally ARUSHA

Hii michezo haifanyiki mara kwa mara ndo maana inakuwa ngumu kuifuatilia.
Pia wanaoicheza wengi ni wahindi, hawapo humu. Facebook wana page yao inaitwa Rally in Tanzania. Kuke updates zote zipo.
Nafikiri wadhamini hakuna siku hizi,nakumbuka miaka ya 1990's Moshi/Arusha kulikuwa na mashindano mengi yalikuwa yanaanzia Kenya-Moshi-Arusha
 

Huwa napenda sana huo mchezo. Nakumbuka zamani hadi nje kidogo ya jiji la dar ilikuwepo
 
Last edited by a moderator:

Huyo Kelvin na Bob Taylor ( no.29 & 30) ni mtu na mdogo wake,Hatari sana. Tokea wakiwa wadogo walianza hayo mambo.
 
Saf sana dada.Inapendeza kusikia mtoto wa kike uu mpenzi wa mashindano ya mbio za magari.

Yani naonaga raha sana kushuhudia mbio za magari natamani hata ningekuwa na mie dereva wa kukimbiza hayo magari
 
Mie pia ni mpenzi balaaa nimeenda kisongo ambapo yamemalizika kwa leo kesho tena yanaanza saa 12 asubuhi

Daaah!! Nimemiss hii kitu wacha tu.
Mimi ni mshabiki wa hii mchezo since longi.

Kesho wanaanzia wapi, route ikoje ?

Hebu tupia hata picha moja
 
Daaah!! Nimemiss hii kitu wacha tu.
Mimi ni mshabiki wa hii mchezo since longi.

Kesho wanaanzia wapi, route ikoje ?

Mesarani ukifika kuna njia inaelekea huko mbugani wanasema ni kama 15km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…