Rally ARUSHA

Nieleweshe hii, wanaanzia Meserani au wanaanzia huko juu unaposema ni kama 15km from Meserani?

Yani ukifika meserani unaingia huko mbugani ambapo ndio rally iyakapofanyikia kwa mujibu wa maelezo tuliopewa japo magari yapo pale kisongo na yataanza saa 12 asubuhi hayo mashindano so kama unataka kushuhudia its better uondoke kwako saa 11 ili uwahi
 
Rally kwa leo imeusha itaendelea tena kesho kuanzia yellow stone mida ya saa moja na nusu yatapita moita,kiongozi kwa leo ni babu wa Arusha kama kawaida yake Gérald miller babu wa kidaslaam kirit pandya amepata ajali yuko hospital lkn hali yake uko poa Sana Mungu ampe wepesi na kuna kamaagar mawili pia yamepata hitilafu.nikiripoti kutoka Arusha mm ni Bigjahman waaaaa jf
 

Uko vizuri jombaa.
Nimefatilia report yako mwanzo mwisho nimefeel kama niko eneo la tukio as before.
Kula gwara mingi.
 
kesho sasa ndo mtafurahi ntatupia mapics ya kutosha na link ya videos leo umeme ulizingua asee
 

Hongera kwa babu Miller mzee wa drift.. Pole sana kwa Kirit, naona kesho kichaa kitampanda mwanae..

Babu Miller akishinda hii itakuwa two in a raw..
 
Hivi kina Erick Comark na team yao ya kula vumbi wako wapi ,Mara ya mwisho niliwaona kwenye mashindano ya Masaki chanika
 

Hapo vifaru vinajulikana. Kirit Pandya, Dharham Pandya, Bob Taylor, Larry Horns, Gerald Miller,Kelvin Taylor, Raju Deere. Nilipata nafasi ya kuangalia guru nanak rally mwaka jana na mwaka huu siikosi. Cha ajabu huu mchezo media coverage na sponsors kwa makampuni ya ndani ni sifuri nadhani serikali imeutenga huu mchezo wakati ni mchezo muhimu sana toka enzi za mchonga meno.
 
Hebu tuwekeni wazi kesho wanaanzia wapi na kuishia wapi??
 

Babu Pandya ashakula mzinga mkuu.. Kabaki mwanae
 
teh teh teh hapo Mswahili niliyemwona ni Salva Mcharo, Kairuki, Victor na Juma pekee..

Ila mwakani tutakuwepo wengi tu..

Kaka kama una interest tutaftane. Nimeshaagiza subaru wrx GC8. Rally specs zote zipo including roll bars. 6 gear manual transmission, turbo. Ikifika naipa boost ya 3kms per litre. Lazma iteme popcorn za kutosha.
 
Gerad miller ni legend na napenda ashinde ila sijui kesho wanaanzia wapi na saa ngapi
 
Kaka kama una interest tutaftane. Nimeshaagiza subaru wrx GC8. Rally specs zote zipo including roll bars. 6 gear manual transmission, turbo. Ikifika naipa boost ya 3kms per litre. Lazma iteme popcorn za kutosha.

Teh teh mkuu umenishtua.. Wakaa Arusha?? Maana kuna chalii yangu nae kaagiza hiyo Subaru isije ukawa ndie wewe teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…