Rally 'back pass' Bwalya

Huenda huangalii mpira wewe, bwalya ana movements za mbele, ukiona hajaenda mbele basi kuna tatizo.

Game ya leo, bwalya alipoingia yanga walikuwa wamepaki basi na kushambulia kwa kushitukiza, ikiwa hivi watu wasio na mpira inabidi wampe machaguzi mwenye mpira kwa mikimbio yao lwenye nafasi, sasa wachezaji wameganda hawajiweki katika nafasi ya kuomba mpira unategemea aupeleke wapi, matokeo yake ni hizo back pass, pin point kwa wingi na square passes tu.
Simba ni ya kurekebishwa, nina mashaka na uwezo wa kocha.

Nb. Ni bwalya huyo ndio alipoingia atleast simba pale kati ikacheza, kipindi yupo benchi simba pale kati walifichwa ni yanga tu ndio walikuwa wanatamba pale.
 
Simba wameenda mbele kipindi cha pili kwasababu yanga huwa ni timu inayochoka baada ya dakika 50 za mchezo.

Bwalya kila siku anapiga pasi za nyuma tu.
 
Nyie ndio mmezoea mpira ni kubutua tu mbele kuna wakat inabidi uwavute wapinzani ili nafas ipatikane, acha kumlaumu Bwalya ila wachezaji anaochza nao ndio vilaza wakipewa basi either wapoteze au wabutue
Bwalya huwa anapiga pasi nyuma hata sehemu ambayo kuna chance ya kupiga za kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…