Rally Bwalya ampishe Sharaf Eldin Ali AbdulRahman Shiboub

Wanayanga mavi yanagonga chupi.
Mtajinyea muda si mrefu.
 
Kuna mijitu ya uropwinyo kazi kuongelea habari za mnyama pumbafu kukosa penati hata messi anakosa
 
Bwalya-Mechi 10
Assist 0
Goal 0

Feisalum-mechi 12
Assist 3
Goals 4
Tutazame na wa ndani kwanza huyo shiboub hafikii hatu nusu ya uwezo wa mkandala..hata Tepsie evance angechezea timu za kariakoo asingeonekana kitu ila wangepambwa kina monster duncan
 
me simuelewi kabisa yaan, ivi lile gori la penati akufunga kwenye league?|
 
Ile game na kaizer chiefs ya 4 - 0. Bwalya alikuwa mzigo sana. Mechi ya dar sikumbuki kama alipangwa first 11.

Bwalya mechi ngumu hawezagi

Hata game 2 za simba na galaxy japo alifunga goli dar. Ila alikuwa mzigo sana upande wa kukaba ama kufanya maamuzi ya kuleta magoli haraka. Mtazame yule wendel alivyokuwa serious hacheki wala haongei wala hashangilii huku anafunga magoli. Bwalya anapiga vyenga na soft touch zake na kutabasamu. Mwisho wa siku simba out

Huwezi kupiga soft touch kwenye game ya mtoano hata siku moja halafu utegemee ushinde.. mpira ni kazi ya nguvu. Game serious zinahitaji watu serious. Ndio maana al ahly wakambeba miqquissone na kuwaacha kina chama na wengineo tunaowaona wakali
 
bwally ni mzito hana pass za hela, kiungo huna assist me hapo ndo napo muona taka taka. Inshot sijamuelewa kabisa yaani
 
Tuliwaambia na imesemwa sana msimpe bwalya mzigo wa chama. Ni watu wawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…