Rally Bwalya ampishe Sharaf Eldin Ali AbdulRahman Shiboub

Harmonize magari 6 na nyumba kibao
Baba yako gari hana nyumba mbavu za mbwa
 
Shiboub mzuri kuliko Bwalya, hasa kwenye kupiga accurate pass na kukaba. Bwalya kwanza muoga sana kukaba kwa kufanya contact" kupiga bambi".
 
Bwalya hana msaada kwenye timu. Anachelewesha mpira pasipotakiwa, pia angalia takwimu hana assist hata moja msimu huu ligi kuu wakati yeye ni namba 10. Amefunga goli moja tu ligi kuu tena la penalt, ndio maana watu wanamkumbuka CCC maana kazi yake ilikuwa inapimika. Huyu mkataba ukiisha atafute malisho mengine pengine
 
Kwa kifupi tu ukiachana na ujio wa Shiboub a.k.a Zenadine Zidane Zaizou,huyu Raly Bwalya likipatikana soko auzwe au atolewe kwa nkopo uyu ntu.
Shiboub hata mimi namkubali sana huyu jamaa. Kuna goli aliwafunga Azam FC kipindi fulani yaani alinifurahisha sana. Halafu ni mtu wa kazi sio show game kama Bwalya na Chama. Mechi za kutumia nguvu Bwalya na Chama huwa wanahama kabisa katikati na kukimbilia pembeni ila sio huyu Shiboub. Simba ikimrudisha itakuwa imepata mtu wa kazi.
 
Bwalya aliisoma coment yako na kisha akakujibu uwanjani leo dhidi ya selem view mapinduzi cup, tujitahidi kuweka akiba ya maneno mkuu.
 
Bwalya mkataba ukiisha aondoke tu- hakuna anachofanya Simba- hakabi- hafungi- hasaidii kufunga- yaani yupo yupo tu- alafu eti ni mchezaji wa kutoka nje
Kama huoni anachokifanya uwanjani basi ni timu nzima itakua haikabi,haifungi ipo ipo tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…