Rama dee (kinega) amaliza beef na Ruge

Sugu dhambi ya usaliti haitomuacha salama....Aliwatia wenzake kwenye ugomvi kwa maslahi yake binafsi
Ni ujinga kufuata mkumbo, Sugu alipopewa chake akapiga kimya

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa wameyamaliza.jelous sio mzuka kaa tuongee ya maana.
Sisi sote ni vijana hakuna haja kulumbana.king

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Credit: Lord Eyez

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa wameyamaliza.jelous sio mzuka kaa tuongee ya maana.
Sisi sote ni vijana hakuna haja kulumbana.king

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hahaha sawa mjingamimi ila kama kuna mtu anakula haki yangu jelous inakua ndo mzuka wa mjini
 
haya bado ruby sasa. hii kesi inafanana na methali ya muhenga gani?
 
Bado wana ukawa hatujamsamehe ukipitia insta yake utakuta maneno ya shombo kwa Lowasa na chedema, akijirekebisha na hilo nitamsamehe
 
title ilitakiwa iwe"rama dee akubali kuomba msamaha clouds",maana yeye ndo alienda kuomba yaishe na na sio clouds waliomba wao yaaishe au clouds na rama dee waliamua wakae chini yaishe
#bt yeye rama dee ndo kaend kuomba msamaha clouds yaishe!

[HASHTAG]#katika[/HASHTAG] kuweka kumbukumb sawa!
 
uko sahihi mkuu
 
Alikua lina sanga ila alishindwa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Jideeeeee Tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jide nae walishayamaliza tangu kesi yake na Ruge ilivyoisha na akaruhusu nyimbo zake zipigwe, clouds wao wakasema zitapigwa ila mpaka azilete studio kitu ambacho sidhani Jide atafanya kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…