Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma alikuwa mgeni rasmi katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ramadhan Cup 2023, tarehe 27 Machi, 2023.
Kwenye mchezo wa ufunguzi Timu ya Silent Ocean ilipata ushindi wa goli 1 - 0 dhidi ya Discount Center.
Kwenye mchezo wa ufunguzi Timu ya Silent Ocean ilipata ushindi wa goli 1 - 0 dhidi ya Discount Center.