Ramadhan Cup imehujumiwa?

Ramadhan Cup imehujumiwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haya ni mashaka yangu hasa baada umeme kukatika wakati timu zinajiandaa kuingia uwanjani kuanza kipindi cha kwanza kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete Youth Park.

Hili si jambo la kulichukulia poa , na uchunguzi wetu unaendelea.
 
Shaffih_Dauda_on_Instagram:_“DRFA_YAISIMAMISHA_FAINALI_YA_RAMADHANI_CUP_2021__Chama_cha_soka_m...jpg
 
Michuano ya kidini nayo yaingia zengwe !
 
Natania tu- Tarehe ya jana waganga wa jadi waligeuza kibuyu upande wa mfarakano.

Hata game zingechezwa kuna timu ingegomea Penart au mashabiki kuingia uwanjani kumchapa mwamuzi. Tunguli zimeiokoa timu fulani na kuharibu michezo yote ambayo ingechezwa Dar.
 
Wanasema mechi itaendelea maana zilibaki dk 4.

Mchezo utachezwa kwa dakika 4.
 
Naskia jana Silent Ocean wamepewa kombe bila fainali kuchezwa baada ya mazungumzo kati ya Binslum na Afroil
 
Back
Top Bottom