Nimefurahishwa sana na kipa kinda kutoka Serengeti boys mwenye umri wa miaka 17 kabwiri akiaminiwa na kocha Lwandamina.Amekuwa akicheza mechi za ligi kuu na hata mechi za Caf.
Wachezaji wa under 17 wale wa Serengeti walifaa kusajiliwa na timu za ligi kuu hata wawe reserves wapate uzoefu zaidi kwa manufaa ya baadae ..Yanga wamefanya vizuri kumsajili kabwiri na kumtumia
Je wachezaji wengine wa Serengeti wameishia wapi au wamerudi mtaani ?