Ramadhan Kayoko kuamua Jumapili kwa Mkapa

Ramadhan Kayoko kuamua Jumapili kwa Mkapa

Thread Starter

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
1,378
Reaction score
1,045
Mwamuzi Ramadhan Kayoko ametajwa kuwa Mwamuzi wa Kati atakayechezesha mchezo namba 64 utakaoyakutanisha manguli ya soka la Tanzania Simba SC na Young Africans.

Taarifa iliyotolewa katika mitandao ya kijamii ya Bodi ya Ligi ‘TPLB’ imeonyesha Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono(Tanga), Janeth Balama (Iringa) na Mwamuzi wa Mezani atakuwa Elly Sasii (Dar es Salaam).
 
𝐇𝐮𝐲𝐮 𝐑𝐞𝐟𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐀𝐩𝐫𝐢𝐥 30, 2022 𝐚𝐥𝐢𝐢𝐜𝐡𝐞𝐳𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐚 𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚 𝐲𝐚 "𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐚𝐧𝐜𝐞" 𝐦𝐚𝐭𝐨𝐤𝐞𝐨..𝐲𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐠𝐨𝐦𝐚 𝐝𝐫𝐚𝐰, 𝐧𝐠𝐨𝐣𝐚 𝐭𝐮𝐨𝐧𝐞 𝐤𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚𝐣𝐞..

𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚𝐒𝐜 [emoji169][emoji172][emoji617]
 
Refa mechi nzima anakumbatia watu tu
 
Ninaimani jiechiemu atakua kechapewa

namba yake ya tigo pecha.
tehe,,tehe,,tehe
 
Back
Top Bottom