Ungemwambia/kumuuliza kuna uchambuzi bila statisticsHuna unachokijua mkuu
Bongo hakuna mchambuzi wote wana kuwa PRO ACTIVE badala ya kuwa PRE ACTIVE.Yaani baada ya kuwa mpira umeshaisha,ndio watachambua mapungufu kibao!!ila kabla ya mechi walikuwa wameongea tofauti kabisa!!!Kidogo amri kiembe huwa anajitahidi kuwa mkweli .Bongo wachambuzi wengi ni wazushi tu. Siasa za simba na Yanga zimewaathiri sana.
Kama GENTA humu Jamii forumBongo hakuna mchambuzi wote wana kuwa PRO ACTIVE badala ya kuwa PRE ACTIVE.Yaani baada ya kuwa mpira umeshaisha,ndio watachambua mapungufu kibao!!ila kabla ya mechi walikuwa wameongea tofauti kabisa!!!Kidogo amri kiembe huwa anajitahidi kuwa mkweli .
They are neither Proactive nor preactive....labda reactiveBongo hakuna mchambuzi wote wana kuwa PRO ACTIVE badala ya kuwa PRE ACTIVE.Yaani baada ya kuwa mpira umeshaisha,ndio watachambua mapungufu kibao!!ila kabla ya mechi walikuwa wameongea tofauti kabisa!!!Kidogo amri kiembe huwa anajitahidi kuwa mkweli .