Ramadhan Mussa(Dogo rama) vs Elizabeth Michael(lulu),mustakabali nyeti katika jukwaa!

Thinker96

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
321
Reaction score
81
habarini wakuu wa jamvi,
pande za kinzana,pande za shahabiana ningali katika tathimini inayohitaji msaada wa kifikra huku nikipitia vyombo mbali mbali vya habari vilivyondani ya uwezo wangu juu ya sakata la lulu ambavyo linatumiwa na wanasiasa katika kutafuta mema yao upande wa akina zitto,mdee... wanainuka na yakwao na wengine wenye minajiri nyeti ju ya huyu mtoto kwa vile kujua tu macho ya watanzania wengi yameelekea huko basi ndo wakati wao muafaka wa kutoa na kauri zao ooh! lulu ni mwananchi wa jimboni

siasa! siasa! siasa!...hapana no!
 
Labda wenzangu watakuelewa!
 
Sijuw ni sijaelewa,au heading haisadifu yaliyomo..
Af nahisi hujajielewa ulichotaka kumaanisha..
Em next...labda atakuelewa
 
Labda wenzangu watakuelewa!

Hata mie sijamuelewa ana maana gani?
Nilidhani pengine Dogo J anataka kutumia maujanja Kumrithi Kanumba!!
Ama Kweli Katika hili la Kanumba hata bubu naye atasema!!
 
habarini wakuu wa jamvi,
pande za kinzana,pande za shahabiana ningali katika tathimini inayohitaji msaada wa kifikra huku nikipitia vyombo mbali mbali vya habari vilivyondani ya uwezo wangu juu ya sakata la lulu ambavyo linatumiwa na wanasiasa katika kutafuta mema yao upande wa akina zitto,mdee... wanainuka na yakwao na wengine wenye minajiri nyeti ju ya huyu mtoto kwa vile kujua tu macho ya watanzania wengi yameelekea huko basi ndo wakati wao muafaka wa kutoa na kauri zao ooh! lulu ni mwananchi wa jimboni

siasa! siasa! siasa!...hapana no!

[h=1]Ramadhan Mussa(Dogo rama) vs Elizabeth Michael(lulu),mustakabali nyeti katika jukwaa![/h]
Mbona Ramadhani Mussa sijamuona ukimzungumzia au ulitaka kusema nini katika uzi wako? Bado hujaeleweka kabisa.
 
Kama nimemuelewa vizuri anasema suala la Lulu linaingiliwa kisiasa na akina Zitto na Mdee kwa kuwa limeteka interest ya watz wengi so wanataka kutumia hiyo advantage kwa manufaa yao binafsi na anashauri hawa watu wakae pembeni sheria ifanye kazi yake,Nadhani Ramadhani anamaanisha yule "Rama mla watu" kwamba yeye pia ni mtoto so kama wanasiasa hawa wanajali haki za watoto mbona yule wamemfumbia macho? Nadhani unamaanisha mkuu THINKER96 au??Naomba kuwasilisha wadau!!
 
Yawezekana wewe ni expert ktk advertisement. Baada ya kuona heading nikafungua haraka2 lkn sasa nasmile since no direct relation btn the title and content.
habarini wakuu wa jamvi,
pande za kinzana,pande za shahabiana ningali katika tathimini inayohitaji msaada wa kifikra huku nikipitia vyombo mbali mbali vya habari vilivyondani ya uwezo wangu juu ya sakata la lulu ambavyo linatumiwa na wanasiasa katika kutafuta mema yao upande wa akina zitto,mdee... wanainuka na yakwao na wengine wenye minajiri nyeti ju ya huyu mtoto kwa vile kujua tu macho ya watanzania wengi yameelekea huko basi ndo wakati wao muafaka wa kutoa na kauri zao ooh! lulu ni mwananchi wa jimboni

siasa! siasa! siasa!...hapana no!
 
labda alitaka kusema kuwa ndiye aliyempigia simu, kwa kuwa wote wadogo labda kwa kubwa hili akuutaji zaidi hata kama alikuwa star
 
hahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha bwahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahaha
Lol lol lol lol lol
rire de mourir!
 
Kama nimemuelewa vizuri anasema suala la Lulu linaingiliwa kisiasa na akina Zitto na Mdee kwa kuwa limeteka interest ya watz wengi so wanataka kutumia hiyo advantage kwa manufaa yao binafsi na anashauri hawa watu wakae pembeni sheria ifanye kazi yake,Nadhani Ramadhani anamaanisha yule "Rama mla watu" kwamba yeye pia ni mtoto so kama wanasiasa hawa wanajali haki za watoto mbona yule wamemfumbia macho? Nadhani unamaanisha mkuu THINKER96 au??Naomba kuwasilisha wadau!!

Nadhani mtoa hoja alitakusema hivyo ila hakujua jinsi ya kuidadavua, nijuavyo Lulu sio mtoto ni mtu mzima amepita 18yrs kwa sheria zetu huyu anachukuliwa kama mtu mzima kwani anaruhusiwa kupiga kura huyu! enewei tuache sheria ifanye kazi
 
kwan kwa mtoto ramadhani nilipost habari iliyo kamilika lakini operators,side ya ramadhan wakawa wameinyofoa nashangaa lugha labda haikufaa yaani nilichokuwa namaanisha ni kwamba ni kwamba mtiririko wa kesi uelekezi wa wahusika ni sawa kwan kwa upande wa ramadhan kilichoelezwa mwanzoni alipopatikana katika kanisa fulan alipimwa akili ikaonekana kama kuna upungufu fulan...kwa upande wa mashitaka alishitakiwa kwa mauaji ingawa alikutwa na sehemu ya mwili wa aliyesadikiwa kumuua...
 
Back
Top Bottom