Labda wenzangu watakuelewa!
habarini wakuu wa jamvi,
pande za kinzana,pande za shahabiana ningali katika tathimini inayohitaji msaada wa kifikra huku nikipitia vyombo mbali mbali vya habari vilivyondani ya uwezo wangu juu ya sakata la lulu ambavyo linatumiwa na wanasiasa katika kutafuta mema yao upande wa akina zitto,mdee... wanainuka na yakwao na wengine wenye minajiri nyeti ju ya huyu mtoto kwa vile kujua tu macho ya watanzania wengi yameelekea huko basi ndo wakati wao muafaka wa kutoa na kauri zao ooh! lulu ni mwananchi wa jimboni
siasa! siasa! siasa!...hapana no!

Kama nimemuelewa vizuri anasema suala la Lulu linaingiliwa kisiasa na akina Zitto na Mdee kwa kuwa limeteka interest ya watz wengi so wanataka kutumia hiyo advantage kwa manufaa yao binafsi na anashauri hawa watu wakae pembeni sheria ifanye kazi yake,Nadhani Ramadhani anamaanisha yule "Rama mla watu" kwamba yeye pia ni mtoto so kama wanasiasa hawa wanajali haki za watoto mbona yule wamemfumbia macho? Nadhani unamaanisha mkuu THINKER96 au??Naomba kuwasilisha wadau!!