Hahahahahahahahah nimeshangaa sana TP mazembe walikuwa wanatoa mpaka Dola 20 000 kusajili mchezaji leo wanaokoteza tuTp Mazembe nayo imeshakuwa kama Mikia wanaosajili Wahindi wenye asili ya Brazil
Subiri mkila hamsa ndio utajua Kama wanaokoteza. Wenzetu wanawajua wachezaji wenye vipaji then wanawatengeneza. After all wanatutengenezea pia Taifa Stars ya Kesho.Hahahahahahahahah nimeshangaa sana TP mazembe walikuwa wanatoa mpaka Dola 20 000 kusajili mchezaji leo wanaokoteza tu
Kama nyie tu Mtani. 😅😅😅Tp mazembe wamekuwa ZOAZOA Fc sasa
Mkuu Nina Mashaka sana na TP Mazembe maana hata timu ya mwaka huu iliocheza na Simba haikua Bora,na huu usajiri wao Kama wakubahatisha tuuHuyu atatufaa ,karibu kijana stade kamalondo
Haikuwa Bora? Wakati Simba walikula 4 pale Congo?Mkuu Nina Mashaka sana na TP Mazembe maana hata timu ya mwaka huu iliocheza na Simba haikua Bora,na huu usajiri wao Kama wakubahatisha tuu
Kabisa hata Meshack Elia walimchukua wakamtengeneza na juzi wamemuuza Anderlect ya BelgiumSubiri mkila hamsa ndio utajua Kama wanaokoteza. Wenzetu wanawajua wachezaji wenye vipaji then wanawatengeneza. After all wanatutengenezea pia Taifa Stars ya Kesho.
HahaaTp Mazembe nayo imeshakuwa kama Mikia wanaosajili Wahindi wenye asili ya Brazil
hajielewi huyo,ndio tatizo la kushabikia mpira uzeeni.amemsahau singano wa simba .pale azam wamemu-under use mazembe anaenda kutengenezwa misimu miwili then watu wanapiga pesaHaikuwa Bora? Wakati Simba walikula 4 pale Congo?
Juzi wamemuuza Meshack Elia Anderlect ya Belgium kwa pesa nzuri na ungejua walipomtoa usingeamini.
Singano wamemsaini miaka 5 , mwaka wa Kwanza atakuwa chini ya uangalia uangalizi maalumu kwasababu wanasema technical Yuko vizuri ila fitness ndo tatizo kidogo.