Ramadhan Special Thread

wadau mwenye kujua atahiyatu yakwanza na yapili aniandikie hapa.mana zinanichanganya
Atahhiyyatu ya kwanza

Atahhiyyatu aswalawatu watwayyibatu assallam alayka ayyuhaynabiyu wara- hmatulwah wabarakatuh, assallam alyna waghallaghibadillah swalihina, ash-hadu allaillah illalwah waash- hadu annamuhammadu- rasululwah.

Ya pili unasoma yote atahhiyatu ya kwanza afu unamalizia na;

Allah- maswali ghala muhammad, waghala ali muhammad, kama swalayta ghala ibrahim, waghala ali ibrahim, wabarik ghala muhammad, waghala ali muhammad, kama barakta ghala ibrahim waghala ali ibrahim, fil-ghalamina innaka hamidu majidu.

Tuipende dini yetu tusiishie kuuliza dua mwezi wa ramadhan tu, mana uislam sio ramadhani tu.
 
wadau mwenye kujua atahiyatu yakwanza na yapili aniandikie hapa.mana zinanichanganya
Attahiyyatu ya kwanza:

Attahiyyatul mubarakaatu sswalaatu twayyibatu lillahi assalamu alayka ayyuhannabiyu warahmatullahi wabarakatuhu assalamu alayna wa-alaa ibadillahi swaalihin. Ash-hadu anlaa ilaha illallah wa ash-hadu annamuhamadar-rasuullah. Allahumma swalli alaa muhammad.

Attahiyyatu ya pili ni mwendelezo wa attahiyyatu ya kwanza ilipoishia. Yaani baada ya kuishia hapo ya kwanza unaendelea kwa kusema:

Waala aali Muhammad. Kama swallayta alaa Ibrahim, waala aali Ibrahim. Wabaarik alaa Muhammad, waala aali Muhammad. Kamaa baarakta alaa Ibrahim, waala aali Ibrahim. Fil-alaamina innaka hamiidunmmajiid.
 
asante mkuu vipi mwezi umeandama?
 
Dini hizi upande mwingine wanamuita Yesu ni mungu na amebeba dhambi zao upande mwingine Mohammad aliambiwa kwa siku aswali mara 50 ila wakamsaidia wakina musa zipunguzwe mpaka zifike 5 na wakati huo kwenye safari ya miraj aliswali kwenye hekalu la Suleiman ila historia inaonyesha hilo jengo lilibomolewA sasa unashangaa aliswali wapi?
 

Sisi tunamshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Tunamuamini Allah na Mtume wake na wala hatuna shaka na aliyoyateremsha Allah.

Kwani jengo lilipovunjwa na eneo la Masjid al Aqsa pia likapotea au likawa halionekani au tuseme lilinyakuliwa nalo?
 
Usiumize kichwa mzee, aliswali ndotoni mimi mwenyewe nishawahi kufika ulaya ila ndotoni

Hivyo kwa mimi inamake sense kindoto ndoto, ila kama alisema uhalisia😂 nisije nikacheka nikapata dhambi bure
 
Sisi tunamshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Tunamuamini Allah na Mtume wake na wala hatuna shaka na aliyoyateremsha Allah.

Kwani jengo lilipovunjwa na eneo la Masjid al Aqsa pia likapotea au likawa halionekani au tuseme lilinyakuliwa nalo?
Wakikuambia jengo la tanesco ubungo limebomolewa wewe unaamini ukifika pale utakuta nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…