Ramadhan Special Thread

Unashauriwa pia na kuzingatia mazingira busika mkuu lakini pia wakati utakavyokuwa ila kwa mara nyingi kwa maeneo hayo tajwa huwa jua lua linakuwa limeshazama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu natambua fika mwongozo wa kufuturu ni mawio ya jua/ jua kuzama..
Kwa mazingira yangu jua huzama kabisa saa 12:55 jioni kama nilivyotangua kudokeza..
Kikubwa hapa niliomba shahidi mkazi wa dar atuthibitishie kuwa kwa dar au tanga ameshuhudia kwa macho yake kufikia muda huo saa 12:21 jioni jua linakuwa tayari limezama kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu jua linapozama ndio wakati muafaka wa kuftari muda sio Kigezo cha moja kwa moja.

Pengine ni saa 12:00 jua limezama kwa hakika basi fturu.

Na pengine ni saa 12:50 jua bado lipo hakika usifturu.
 
Nakumbuka mwaka jana, Ramadhan ilinikuta ndani ya Afrika ya Kusini na katika mji nilipokuwa tulikuwa tunafturu saa 11 na dakika 21 jioni....

ᴴᵃᵗᵃ ᵏⁱᵖⁱᵐᵒ ᶜʰᵃ ᵐⁱᵐᵇᵃ ᵏⁱⁿᵃʷᵉᶻᵃ ᵏᵘˢᵒᵐᵃ ᵐᵏᵒʲᵒ ʷᵃ ᵐʷᵃⁿᵃᵘᵐᵉ "ᴾᵒˢⁱᵗⁱᵛᵉ"
 
Nashukuru mkuu kwa mchango wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mi ulivyotoka mwezi nikafunga wengine wakafunga kesho yake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assalaam alleykum!

Je, inaswihi kwa aliyefunga ramadhan kuchinja mnyama mchana wa Ramadhan?

Inafaa mkuu kwa sababu hakuna dalili inayokataza
Assalaam alleykum!

Je, inaswihi kwa aliyefunga ramadhan kuchinja mnyama mchana wa Ramadhan?

Inaswihi mkuu kwa sababu hakuna dalili iliyokataza kuchinja mwezi wa ramadhani pekee mtu akiwa amefunga.

Isipokuwa kwa wale walioko huko hijja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…