Ramadhan Special Thread

Imekaaje Ramadhan kuitwa mwezi mtukufu wakati kwenye list ya miezi minne mitukufu haupo je inafaa ?

Baljurashi Kazakh destroyer
Ramadhani umeitwa mwezi mtukufu kwasababu ya yale yanayopatikana ndani yake hayapatikani ndani ya miezi mingine ni mwezi mtukufu kwa waumini

Hua napenda kusikiliza darsa za Abdallah humeid kuna darsa alielezea hili jambo
 
[emoji257][emoji257]HUKMU YA MWENYE KULALA RAMADHANI HALIYAKUA ANA JANABA NA AKAAMKA ASUBUHI BAADA YA KUCHOMOZA KWA JUA


قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله


[emoji404]Amesema Al-allaamah imam Abdul Azizi bin baazi (rahimahullah)


مادام ناويًا الصيام فإن صومه صحيح إذا لم يستيقظ إلا بعد طلوع الشمس ولو ما تسحر صومه صحيح وهو على نية الصوم،


Mda ambao kwamba ametia nia ya funga basi hakika ya funga yake ni sahihi ikiwa hakuamka ispokuwa baada ya kuchomoza kwa jua lau hata hakula daku funga yake ni sahihi nae yupo katika nia ya funga


وليس من شرط الصوم السحور ولكنه سنة السحور وليس بشرط،


Na sio katika sharti la funga kula daku lakini hakika yake daku ni sunna lakini sio katika sharti (la kusihi kwa funga)


وعليه أن يبادر بالصلاة إذا استيقظ،


Na juu yake afanye haraka kuswali mda ambao atakapo amka."


❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪ نور على الدرب حكم من نام في رمضان وهو جنب واستيقظ بعد الشروق❫.


══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

*[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa



VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]


[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]
 
[emoji257][emoji257]WANA NDOA IMEWAFIKA ASUBUHI HALIYAKUWA WANA JANABA KATIKA MWEZI WA RAMADHANI


❪[emoji411]❫ السُّــــ☟ـــؤَال : ﻫﻞ ﻳﺼﻮﻡ اﻟﺮﺟﻞ ﻭﺯﻭﺟﺘﻪ ﺑﻌﺪ ﺃﻥ ﻳﻜﻮﻥ اﻟﺰﻭﺝ ﻗﺪ ﺟﺎﻣﻊ ﺯﻭﺟﺘﻪ ﻭﻟﻜﻨﻬﻤﺎ ﻧﺎﻣﺎ ﺣﺘﻰ ﻃﻠﻮﻉ اﻟﻔﺠﺮ ﺩﻭﻥ ﺃﻥ ﻳﻐﺘﺴﻼ ﻏﺴﻞ اﻟﺠﻨﺎﺑﺔ؟


[emoji404]Swali: je watafunga ramadhani mume na mkewe baada ya kuwa mume kafanya tando la ndoa na mkewe lakini hakika yao walilala mpaka kuchomoza kwa Al-fajiri pasina kuoga janaba?


❪[emoji411]❫ الجَـــ☟ـــوَاب: ﺇﺫا ﺣﺼﻞ ﺟﻤﺎﻉ ﺑﻴﻦ اﻟﺰﻭﺟﻴﻦ ﺁﺧﺮ اﻟﻠﻴﻞ ﻗﺒﻞ ﻃﻠﻮﻉ اﻟﻔﺠﺮ،


[emoji3514]Jawabu: pindi walifanya tendo la ndoa baina ya wana ndoa wawili mwisho wa usiku kabla ya kuchomoza kwa Al-fajiri


ﻭﻋﻘﺪا اﻟﺼﻴﺎﻡ ﻋﻨﺪ ﻃﻠﻮﻉ اﻟﻔﺠﺮ ﻭﻫﻤﺎ ﻟﻢ ﻳﻐﺘﺴﻼ – ﺻﺢ ﻋﻘﺪ اﻟﺼﻴﺎﻡ، ﻭﻳﻐﺘﺴﻼﻥ ﺑﻌﺪ ﺫﻟﻚ ﻣﻦ اﻟﺠﻨﺎﺑﺔ.


Na wakaamka na nia ya funga baada ya kuchomoza kwa Al-fajiri na haliyakuwa hawakuoga janaba basi itasihi funga yao na wataoga janaba baada hiyo Al-fajiri."


Fatwa ya lajnah ya kudumu


❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪ فَتــَاوى اللجنَةِ الدَّائمَة,اﻟﺴﺆاﻝ اﻟﺜﺎﻧﻲ ﻣﻦ اﻟﻔﺘﻮﻯ ﺭﻗﻢ (20385❫.


══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]



VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]


[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]
 
‎[emoji96]أسهل طريقة لختم القرآن الكريم في رمضان المبارك[emoji96]

[emoji96]NJIA NYEPESI ZAIDI ZA KUKHITIMISHA (KUMALIZA) QUR AAN TUKUFU (MARA MOJA AU ZAIDI YA MARA MOJA) NDANI YA MWEZI WA RAMADHANI WENYE BARAKA[emoji96]


طريقة ختم القرآن في خلال ( 30 يوم ) كل يوم جزء من القرآن

[emoji842]Njia Ya Kwanza Ya Kumaliza Qur aan Ndani Ya Siku Thelathini (30) Kila Siku Utasoma Juzuu Moja Ktk Qur aan.

‌‏- الفجر : 4 صفحات
Swala Ya Alfajir Utasoma Kurasa 4.

‌‏- الظهر : 4 صفحات
Swala Ya Adhuhur Utasoma Kurasa 4.

‌‏- العصر : 4 صفحات
Swala Ya Alasir Utasoma Kurasa 4.

‌‏- المغرب : 4 صفحات
Swala Ya Maghrib Utasoma Kurasa 4.

‌‏- العشاء : 4 صفحات
Swala Ya Isha Utasoma Kurasa 4.
‌‏

‎طريقة ختم القرآن في خلال ( 15 يوم) كل يوم جزئين من القرآن

[emoji843]Njia Ya Pili Ya Kumaliza Qur aan Ndani Ya Siku Kumi Na Tano (15) Kila Siku Utasoma Juzuu Mbili Ktk Qur aan.

‌‏- الفجر : 8 صفحات
Swala Ya Alfajir Utasoma Kurasa 8.

‌‏- الظهر : 8 صفحات
Swala Ya Adhuhur Utasoma Kurasa 8.

‌‏- العصر : 8 صفحات
Swala Ya Alasir Utasoma Kurasa 8.

‌‏- المغرب :8 صفحات
Swala Ya Maghrib Utasoma Kurasa 8.

‌‏- العشاء : 8 صفحات
Swala Ya Isha Utasoma Kurasa 8.
‌‏
‎طريقة ختم القرآن في خلال ( 12 يوم ) كل يوم جزئين ونصف من القرآن

[emoji842]Njia Ya Tatu Ya Kumaliza Qur aan Ndani Ya Siku Kumi Na Mbili (12) Kila Siku Utasoma Juzuu Mbili Na Nusu Ktk Qur aan.

‌‏- الفجر : 10 صفحات
Swala Ya Alfajir Utasoma Kurasa 10.

‌‏- الظهر : 10 صفحات
Swala Ya Adhuhur Utasoma Kurasa 10.

‌‏- العصر : 10 صفحات
Swala Ya Alasir Utasoma Kurasa 10.

‌‏- المغرب : 10 صفحات
Swala Ya Maghrib Utasoma Kurasa 10.

‌‏- العشاء : 10 صفحات
Swala Ya Isha Utasoma Kurasa 10.

‎طريقة ختم القرآن في خلال ( 10 أيام ) كل يوم ثلاثة أجزاء من القرآن

[emoji843]Njia Ya Nne Ya Kumaliza Qur aan Ndani Ya Siku Kumi (10) Kila Siku Utasoma Juzuu Tatu Ktk Qur aan.

‌‏- الفجر : 12 صفحة
Swala Ya Alfajir Utasoma Kurasa 12.

‌‏- الظهر : 12 صفحة
Swala Ya Adhuhur Utasoma Kurasa 12.

‌‏- العصر : 12 صفحة
Swala Ya Alasir Utasoma Kurasa 12.

‌‏- المغرب : 12 صفحة
Swala Ya Maghrib Utasoma Kurasa 12.

‌‏- العشاء : 12 صفحة
Swala Ya Isha Utasoma Kurasa 12.
‌‏
‎هذا البرنامج ﻷصحاب الهمم العالية
‎طريقة ختم القرآن في خلال ( 6 أيام ) كل يوم خمسة أجزاء من القرآن

[emoji842]Mpangilio Huu Na Utaratibu Huu Na Ratiba Hii Nikwaajili Ya Watu Wenye Bidii Na Pupa Na Maazimio Ya Hali Ya Juu Kabisa.
[emoji843]Njia Ya Tano Ya Kumaliza Qur aan Ndani Ya Siku Sita (6) Kila Siku Utasoma Juzuu Tano Ktk Qur aan

‌‏- الفجر : 20 صفحة
Swala Ya Alfajir Utasoma Kurasa 20.

‌‏- الظهر : 20 صفحة
Swala Ya Adhuhur Utasoma Kurasa 20.

‌‏- العصر : 20 صفحة
Swala Ya Alasir Utasoma Kurasa 20.

‌‏- المغرب : 20 صفحة
Swala Ya Maghrib Utasoma Kurasa 20.

‌‏- العشاء : 20 صفحة
‌‏Swala Ya Isha Utasoma Kurasa 20.

[emoji1486]انشرها في المجموعات فإنك فلا تدري كم من الأجر سيصلك حين يختم أحدهم القرآن الكريم بسببك.

[emoji1485]Sambaza Na Tawanya Na Eneza Ujumbe Huu Ktk Magroup Mbalimbali, Basi Hakika Yako Wewe Haujui Utapata Malipo Kiasi Gani Wakati Atakapomaliza Mmoja Wao Qur aan Tukufu (Miongoni Mwa Watu Watakaopata Ujumbe Huu) Kwasababu Yako.

[emoji832]NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI:
[emoji842]Ewe Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu: Jitahidi Kusoma Qur aan Tukufu Ndani Ya Mwezi Wa Ramadhani Na Usiwe Mvivu Na Chagua Njia Moja Ktk Njia Hizo Unayoweza Uitumie Au Jiwekee Utaratibu Mwengine Unaoweza Uutumie Na Usijizuilie Kheri Na Hakika Qur aan Tukufu Iliteremshwa Ndani Ya Mwezi Wa Ramadhani Na Haitokuwa Jambo La Sawa Na Sikatika Ukamilifu Wa Imaan Kuacha Kuisoma Qur aan.
[emoji1486]قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:

شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنْزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَنْ شَهِدَ مِنْكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖ وَمَنْ كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ

[emoji1485]Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu:

Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur aani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine.ALLAH anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze ALLAH kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru.

Sura Ya 2 Aya Ya 185.

[emoji843]Ewe Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu: Jitahidi Kujifundisha Qur aan Tukufu Na Wafundishe Watoto Wako Qur aan Tukufu Na Chukulia Umuhimu Mkubwa Sana Swala La Kujifundisha Kitabu Chako Kitukufu Na Chukulia Umuhimu Mkubwa Sana Wa Kuwafundisha Watoto Wako Kitabu Chao Kitukufu Kuliko Unavyochukulia Umuhimu Wa Kuwatafutia Rizqi Na Ikiwa Haukujifundisha Qur aan Tukufu, Hautoweza Kumaliza Qur aan Tukufu Kwa Kusoma Vizuri.
[emoji93]Tanbiih: Hakuna Idadi Maalum Ya Siku Za Kumaliza Qur aan Bali Nibora Zaidi Muislamu Ajitahidi Kusoma Qur aan Mara Kwa Mara Na Asimalize Qur aan Chini Ya Siku Tatu Na Ikiwa Muislamu Anapupa Na Bidii Na Maazimio Ya Juu Kabisa Na Akamaliza Qur aan Chini Ya Siku Tatu Yaan Akamaliza Qur aan Kwa Siku Mbili Au Moja Siyo Haramu Na Wako Baadhi Ya Waja Wema Waliofanya Hivyo.

[emoji837]IKIWA KUNA MAKOSA KTK MAKALA HII, TAFADHALI USIBADILISHE CHOCHOTE NA WASILIANA NA MUHUSIKA NA NITABADILISHA YATAKAPOTHIBITI IN SHAA ALLAH.
[emoji1485]ALLAH NDIYE MKAMILIFU NA MJUZI ZAIDI.

[emoji102]IMETAFSIRIWA NA
[emoji1485]ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY (حفظه الله تعالى ورعاه)
[emoji96]Dar es Salaam, Tanzania[emoji1241]

[emoji257]WhatsApp: +255713444054.
[emoji257]Call: +254724992753.
[emoji414]11/ Sha'abaani (08)/1442 H.
[emoji414]24/03/2021 M.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…