Hata kusali inabidi kuwa hivyo sio lazima waimbe wacheze na kupiga kelele kwa vipaza sauti.Here is a man with obsession. Wewe funga kaa kimya ongea na mola wako inatosha
Ramadhan mubarak kata mauno nyau wwHata kusali inabidi kuwa hivyo sio lazima waimbe wacheze na kupiga kelele kwa vipaza sauti.
Kuongea na Mola kwa unyenyekevu na ukimya peke yako bila kelele na fujo
Vuka border ukapigwe denda na wewe, wagalatia wenzako usihofu, unaenda mbali huko kwa wahindi ya niniRamadhan mubarak kata mauno nyau ww
View attachment 3545850
Vuka border ukapigwe denda na wewe, wagalatia wenzako usihofu, unaenda mbali huko kwa wahindi ya nini
View attachment 3545860
Issue ya kufunga kwa Muda even ki secular ni kitu ambacho kinatakiwa kufanywa mara kwa mara, inazuia Kansa, inaongeza seli hai mwili na faida kibao kisayansi, na ufungaji most of time ratio inayokuwa recommended ni 16:8 unafunga masaa 16 na masaa 8 unakula,Moja kwa Moja..
Leo nimeingia Jf now , nilijua tu haiwezi Ramadhani kuanza kinyonge bila kukuta zile nyuzi nikasema ngoja nichungulie HMM , page ya mwanzo tu nikakuta nyuzi zimeongozana ya kwanza hii ππ halafu hii nyuzi kila Ramadhani lazima ianzishwe ndio uzi ambao unaingia kwenye rekodi ya kurudiwa mara nyingi zaidi JF
View attachment 3545842
Mtu unauliza la nini katika mambo ambayo hayaruhusu na wala hayakuathiri kwa chochote wala kukupa pesa ? Waislamu tusharidhika kubadilisha muda wa kula tabu Iko wapi .
Wewe akili yako ishakuambia kuwa Waislamu wamepotea na hawana jema nk. sasa kwa nini uhangaike kuulizia mambo yao wakati jibu mnalo kuwa kobazi hao wamepotea ?
Nikakuta nyuzi mwingine hii yenye mlengo mmoja na hii ni kopi karibia kila mwaka lazima uje kwa version nyingine .
Sisi vyovyote mtakavyokuja na kutuambia tumekubali Uislamu ndio dini yetu hakuna namna ya kutubadilisha kama mnaumia na mambo yetu na kuhangaika nayo kuliko hata sisi wenye dini yetu basi poleni sana . Ramadhani hii inawapa tabu sana ya kuanda na kuandika nyuzi nyingi
View attachment 3545846
#Ramadhan Mubarak
AkiliIssue ya kufunga kwa Muda even ki secular ni kitu ambacho kinatakiwa kufanywa mara kwa mara, inazuia Kansa, inaongeza seli hai mwili na faida kibao kisayansi, na ufungaji most of time ratio inayokuwa recommended ni 16:8 unafunga masaa 16 na masaa 8 unakula,
Kila siku ukiwaambia watu humu wanarudia hayo hayo kila siku, yanaingia sikio hili yanatoka sikio la kule.
Duh! Hatare kumbe ni wanaume hawa..Ramadhan mubarak kata mauno nyau ww
View attachment 3545850
Waislamu hawafungi wanabadili masaa ya kulaIssue ya kufunga kwa Muda even ki secular ni kitu ambacho kinatakiwa kufanywa mara kwa mara, inazuia Kansa, inaongeza seli hai mwili na faida kibao kisayansi, na ufungaji most of time ratio inayokuwa recommended ni 16:8 unafunga masaa 16 na masaa 8 unakula,
Kila siku ukiwaambia watu humu wanarudia hayo hayo kila siku, yanaingia sikio hili yanatoka sikio la kule.