Ramadhani Madabida na wenzake waachiliwa huru, walituhumiwa kusambaza ARV feki

Imerudi Hewani
Unajua nini mkuu ukisoma comment ya mtu avatar picha uliyoizoea inakuvuta sana. Unajua unashushaga humu nondo za hatariiii na madini yaliyojitosheleza. Kuna wakati nilijiuliza huyu mwamba kapotelea wapi. Ila hili jina Kennedy
 
Unao ushahidi au ni hearsay? Na una uhakika gani ni dawa za ARV na siyo hayo makuku yenu ya broilers munayowapa growth hormones ili waweze kuuzwa haraka?
 
Wale watuhumiwa wa mkonge waliokuwa wanashikiliwa katika gereza la Maweni Tanga wote wameachiwa Mwaka jana mwezi wa 6

Mjomba wa Msoga ndio amerudi!! Kazi kama kawa na wezi wote watarudi mtaani.
 
Mjomba wa Msoga ndio amerudi!! Kazi kama kawa na wezi wote watarudi mtaani.
Kuna mtuhumiwa mmoja alikuwa shosti na chifu tangu shuleni, kipindi alivyokuwa naibu wa jiwe hakuwa na nguvu ila sasa alivyoshika kingdom ndo akamchomoa pale gereza la jiweni T. A
 
Kuna mtuhumiwa mmoja alikuwa shosti na chifu tangu shuleni, kipindi alivyokuwa naibu wa jiwe hakuwa na nguvu ila sasa alivyoshika kingdom ndo akamchomoa pale gereza la jiweni T. A

HATARI SANA KWA NCHI!
 
Hii kesi ni ya JK era.

Ilikua 2014.

Magu hahusiki kwa hili.
Si kweli mkuu, rejesha kumbukumbu zako, Madabida alikua huru 2014 maana 2015 alitunuku Vyeti pale Karimjee
 
Hapana zote mbili zilianza 2014.

Kama hufahamu jambo usipotoshe.
Wewe ndio unapotosha mkuu, Madabida alitoa Vyeti pale karimjee 2015 tena siku hiyo alitoka Zanzibar, wanafunzi vyuo vikuu wanachama wa CCM walipewa Vyeti na yeye, inakuaje 2014 awe amefungwa?
 
Wewe ndio unapotosha mkuu, Madabida alitoa Vyeti pale karimjee 2015 tena siku hiyo alitoka Zanzibar, wanafunzi vyuo vikuu wanachama wa CCM walipewa Vyeti na yeye, inakuaje 2014 awe amefungwa?
Hakuwahi kufungwa alikua nje kwa dhamana.

Kuwa na kesi sio kufungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…