Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Hii ni kwa mujibu wa Tanzania football fitna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira wa bongo janja janja iko tele
Mi huwa nashangazwa na viongozi wa mpira wa Tanzania yaani hawako makini . kila siku wapo wanashindwa kumtimizia mtu matakwa yake ili afanyeje?
Hilo la kwenda Azam au Yanga dogo anaenda kupotea sioni mtu wa kmnyang' anya namba ukizingatia styles za uchezaji ni tofauti sana na kasi yake
Kwa ulitaka aendelee kukaa huko kwa mikia muendelee kumyonya sio? Dah
Heeee wamchangan
Nikiwa kama shabiki wa simba jambo hili limeniumiza na lawama zote ziende kwa uongozi.kumbuka simba tunapita katika kipindi kigumu cha kuandaa timu.sasa kama kila mwaka tunaandaa wachezaji harafu tunashindwaa kuwaandalia mazingira ya kuipenda timu yao itakuwa kazi bure.kumbuka muda tuliotumia Kumlea mesi harafu anaondoka kwa sababu za kipuuzi.mashabiki wote wa simba tuungane tulilini chili kwani tukilechekea hili utasikia mwakani ndemla anatimka bila kuinufaisha timu.

huo mkataba wenye utata ulisainiwa kipindi chake rage na katibu alikuwa mtawala kama makosa wao ndio wamesababishaHapana, angalia upana wa vikosi hivyo viwili. ila management ya Simba sijui ina nin? Mtu sahihi pale ni Mtawala Evodius bhaaasi