Ramadhani Singano huru kutimkia popote

Safi sana,sasa kesho dogo anahamia AZAM asubihi na mapema!!
 
Nikiwa kama shabiki wa simba jambo hili limeniumiza na lawama zote ziende kwa uongozi.kumbuka simba tunapita katika kipindi kigumu cha kuandaa timu.sasa kama kila mwaka tunaandaa wachezaji harafu tunashindwaa kuwaandalia mazingira ya kuipenda timu yao itakuwa kazi bure.kumbuka muda tuliotumia Kumlea mesi harafu anaondoka kwa sababu za kipuuzi.mashabiki wote wa simba tuungane tulilini chili kwani tukilechekea hili utasikia mwakani ndemla anatimka bila kuinufaisha timu.
 
Mpira wa bongo janja janja iko tele

Mi huwa nashangazwa na viongozi wa mpira wa Tanzania yaani hawako makini . kila siku wapo wanashindwa kumtimizia mtu matakwa yake ili afanyeje?

Hilo la kwenda Azam au Yanga dogo anaenda kupotea sioni mtu wa kmnyang' anya namba ukizingatia styles za uchezaji ni tofauti sana na kasi yake
 
Mikia madhulumati sana

Hadi rambi rambi ya mutesa walipiga chini
 

Kwa ulitaka aendelee kukaa huko kwa mikia muendelee kumyonya sio? Dah
 
Kwa ulitaka aendelee kukaa huko kwa mikia muendelee kumyonya sio? Dah

Hapana, angalia upana wa vikosi hivyo viwili. ila management ya Simba sijui ina nin? Mtu sahihi pale ni Mtawala Evodius bhaaasi
 
akacheze soka lenye manufaa sasa, hope utafika mbali dogo, kaza buti:rockon::rockon:
 
Suala la utata kuhusu ukomo wa mkataba limefunikwa. Nina hakika maamuzi haya yamewabeba mikia.
 
Yaani kifupi tff ni dhurumati sana, maana kwa kitendo cha kuvunja mkataba badala ya kumpa Messi haki zake ni ushenzi kabisa, maana kumbuka kuna mambo ambayo ya kikmataba kama kumlipia kodi ya nyumba hawajamlipa. Ni kumuombea tu Azam wamsajii apate mafao ya maana basi lakin kwa style hii soka la bongo bado sana.
 
Mwache aende walau vilabu sasa vitaanza kuthamini mikataba ya wachezaji hasa wachezaji vijana wazawa kuliko wanavyothamini wachezaji wageini
 


Simba mnashindwa kuwahudum
 

Pole Mkuu, wewe ni Mura nini? mbona harafu badala ya halafu
 
Na aliyefoji mkataba kutoka miaka 2 kuwa 3 kapewa adhabu gani?
 
Hapana, angalia upana wa vikosi hivyo viwili. ila management ya Simba sijui ina nin? Mtu sahihi pale ni Mtawala Evodius bhaaasi
huo mkataba wenye utata ulisainiwa kipindi chake rage na katibu alikuwa mtawala kama makosa wao ndio wamesababisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…