mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ni mrundi yeyeAlale mahema anapostahili.
Burundi alikuwa anaishi huko au alienda kutembea
Ahaa, sikujua hiliNi mrundi yeye
Duh umekwenda mbaliπ€£π€£Kafara tayari
Kafara kivipi Mkuu? Unaweza kuongeza nyama kidogo au huu mchuzi unatosha πKafara tayari
Innallilah Wainnalillah rajiuunYule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
Na yule Christopher Alex hakuwa beki?Simba ya 2002 hadi 2004 ilikuwa inatisha sana
Imagine uko backline yako inaundwa na;
Ramadhani Wasso
Una Boniface Pawasa
Una Victor Costa ~Nyumba
Apumzike Kwa Amani π
oya unauhakika ni miaka 39Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
Kiungo wa chiniNa yule Christopher Alex hakuwa beki?
Itakua alikuja Tanzania na miaka 15oya unauhakika ni miaka 39