ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
acha ukenge we huoni vitu vinavyopanda bei au we unakula ugali wa lugaloπππWatu wa mwendazake acheni ramli chonganishi
Tafuta hela acha kulialia ramazani ndio kitu gani katika maisha haya..mbona kuna kwa rezima na maisha yanaendelea.Muda kama huu Hayati Magufuli angeshakemea vitu kupanda bei. Leo hii mafuta ya kula lita 10 Tsh. 63, 000 huku lita 20 ikiwa ni Tsh. 117,000.
Wauza mihogo ya kukaanga biashara imewashinda sababu ya mafuta kupanda sana na sio kwamba hakuna wateja.
Tambi na ngano vimepanda bei mapema. Je, mwezi wenyewe wa Ramadhani ukianza hali itakuwaje? Kinachonishangaza hakuna chochote kinachosemwa, kuko kimya hakuna matamko ila wenzetu wa stand wenyewe mafuta yakipanda siku mbili tu nyingi washaanza kuleta migomo.
Actually milo ni miwili, lakini ugumu utakuwepo ikiwa mfumuko wa bei umeambatana na ramadhani, lakini kama si hivyo basi hakuna tofauti yoyote na nyakati zingine.Ramadhan inakuwaje ngumu wakati Waislam wanakula mlo mmoja as opposed to other times wanapokula milo 3+?
Sijisemei MimiTafuta hela acha kulialia ramazani ndio kitu gani katika maisha haya..mbona kuna kwa rezima na maisha yanaendelea.
Umasikini + ujinga ni janga la dunia
#MaendeleoHayanaChama
Kila siku hayati hayati, kwa nini usitoe maoni yako usikike ? Kwani ukitoa maoni bila kumtaja Magufuli ambaye ameshakufa ndio unahisi hautasikika???Muda kama huu Hayati Magufuli angeshakemea vitu kupanda bei. Leo hii mafuta ya kula lita 10 Tsh. 63, 000 huku lita 20 ikiwa ni Tsh. 117,000.
Wauza mihogo ya kukaanga biashara imewashinda sababu ya mafuta kupanda sana na sio kwamba hakuna wateja.
Tambi na ngano vimepanda bei mapema. Je, mwezi wenyewe wa Ramadhani ukianza hali itakuwaje? Kinachonishangaza hakuna chochote kinachosemwa, kuko kimya hakuna matamko ila wenzetu wa stand wenyewe mafuta yakipanda siku mbili tu nyingi washaanza kuleta migomo.
Futari yenye mazagazaga+Daku iliyoshiba sijui kama umeshaziona?Ramadhan inakuwaje ngumu wakati Waislam wanakula mlo mmoja as opposed to other times wanapokula milo 3+?
ππππ Kupanda au kushika kwa bei za vitu hakutokani na kukemea au kutoa matamko ,haaaa.Muda kama huu Hayati Magufuli angeshakemea vitu kupanda bei. Leo hii mafuta ya kula lita 10 Tsh. 63, 000 huku lita 20 ikiwa ni Tsh. 117,000.
Wauza mihogo ya kukaanga biashara imewashinda sababu ya mafuta kupanda sana na sio kwamba hakuna wateja.
Tambi na ngano vimepanda bei mapema. Je, mwezi wenyewe wa Ramadhani ukianza hali itakuwaje? Kinachonishangaza hakuna chochote kinachosemwa, kuko kimya hakuna matamko ila wenzetu wa stand wenyewe mafuta yakipanda siku mbili tu nyingi washaanza kuleta migomo.
Unawatafuta ubayaRamadhan inakuwaje ngumu wakati Waislam wanakula mlo mmoja as opposed to other times wanapokula milo 3+?