Elections 2010 Ramadhani ya Dk.Slaa

mjukuu2009

Member
Joined
Jul 6, 2009
Posts
89
Reaction score
4
Ramadhani na Dk.Slaa
Habari ndugu zangu,poleni na swaumu.leo nilipokuwa masjidi nikakumbuka kwamba niko kwenye mwezi wa toba na ata siku moja sijawai kumwombea Raisi wangu Dk.Slaa,kwaiyo kuanzia leo nimeamua niweke sala malumu kumuombea raisi wetu Dk.W.Slaa afya njema na ushindi wa kishindo ili tuweze kuona Tanzania ikikombolewa kutoka mikononi mwa majangili ya yaliyopewa nchi kwa takiribani miaka 50 sasa.
Naleta ombi langu kwenu watanzania wezangu mlio ndani na nche kuweka maombi malumu kwa ajili ya kumuombea Dk.Slaa ashinde urais ata Mw.Nyerere watu walimuombea kwa mungu wetu ndio mana akaweza kupata uhuru bila kumwaga damu,na Dk.Slaa ni kama Nyerere wa kipindi iki mana anaenda kutukombolea nchi yetu iliyoporwa.
Waislamu wenzangu tuliweke ili kwenye mwezi huu wa toba mpaka uchaguzi huishe na kwa ndugu zetu wakiristo naomba mumuombe raisi wetu Dk.Slaa ili apate ushindi kuanzia leo.
Swaumu njema.
Asanteni
 
Mungu asikie swala zako na ikawe
 
Neno "Breaking news" lishapoteza maana. Swaumu njema mjukuu
 
Ndudu yangu umenisaidia kunikumbusha kuwa natakiwa kumwombea Dr Slaa kwani anahitajika kipindi hiki kuliko kipindi kingine
 

The Following Users Say Thank You to mjukuu2009 For This Useful Post:

Malaria Sugu,JEYKEY,Dubo,Kibunango
 
Chama kinachongozwa kwa maombi badala ya sera, tutafika tuuuuuuu!!!!
 

Na ikawe hivyo mkuu.
 

Masahihisho kwenye red
Muislam halisi hawezi kusahau kuwa yuko kwenye mwezi wa ramadhani
Waislam huwa hawaiti sala, wanaita swala

Huo uislam unaojinasibisha nao wala hata haufanani na wewe

Kwani si mmuombee na kufunga huko kanisani. Mpaka mtafute misaada kwa waislam? HAWADANGANYIKI. Waislam walifunga na walimuombea Nyerere, hata hivyo hakuwajali zaidi ya kuwagawa na kuwaacha nyuma kwa kila kitu. Wamebaki watu wa madrasa tu, na sasa mnataka wawaombee tena. Kwa lipi? that was enough. Forget about it. kama inatokea itokee tu na si kwa dua za hao waislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…