Ramani bomba ya nyumba vyumba vinne

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
habari za Leo wakubwa,
Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au pray room.























 
Mbona sijaona ramani?
hiyo pia ni ramani ipo in three dimensions (3D).
hiyo ya 2D yenye vipimo vilivyotumika huwezi kuiweka hadharani kama hivi. Sio vizuri kuna watu wanafanya biashara hapa, wanategemea wauze hizi hizi ramani ndio maisha yaende. Kwa kufanya hivyo utakua unawakosesha mawindo yao.
 
Ngoja tumpe muda,inawezekana aliandaa kwanza picha sasa hivi ndio anachora ramani,watu wanatofautiana utaalamu...
Wanachotaka ni floor plan yenye vipimo. Hiyo haiwezi kuwekwa hadharani kama hivyo. Hata kama haijafikia viwango unavyo vihitaji floor plan yenye dimensions huwezi iweka hadharani hapa,
 
Bajeti yangu ni Tshs 50,000/= Ila nataka ramani yenye front view Kama hio Ila iwe room 3
 
Hilo paa tuu kulifunika ni nyumba nyingine 2 kama hizo uzianzie chini hadi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…