EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Mkuu kuwa mpole utaona vitu vikali zaidi ya hivyo vinakuja yaani huo ni mwanzo tu na hii kazi ni endelevu kwenye hili jukwaa.Vijana mkishajua kuvuta node na wall kwenye Archicad baaaassss imetosha sio?????.... Architecture is more than that broo.. nakucirtisize ili uwe bora zaidi.. hiyo design ni mbaya, not well thought of, lots of details missing ++++++++++
Sasa mbona haukusubiria hadi upate hiyo software nzuri ukishaweza itumia ndipo utupostie, hauoni kama umetuchanganya kisaikolojia?!Mkuu kuwa mpole utaona vitu vikali zaidi ya hivyo vinakuja yaani huo ni mwanzo tu na hii kazi ni endelevu kwenye hili jukwaa.
Nilishajua challenge yangu ni software nayotumia ni ya demo. Sasa ninampango wa kuvuta software yenyewe. Vitu vikali vitaporomoshwa humu bure bila chenga.
Mmmmmmmm kusubiri tena, hakuna kilicho changanywa hapo isitoshe ramani ya nyumba ni floor plan tu, hizo zingine rangi rangi na mapambo ni mbwembwe tu.Sasa mbona haukusubiria hadi upate hiyo software nzuri ukishaweza itumia ndipo utupostie, hauoni kama umetuchanganya kisaikolojia?!