Ramani hii inaweza ingia tofali na mabati mangapi

Nimeshaiweka vipimo kichwani na lazima inacheza hivyo.
  • Tofali jumla zitakuwa 2600 (foundation ya course 6 itakuwa Tofali 800, na kuta course 14 zitakuwa tofali 1800)
  • Bati hapo zitaingia bundle 6( hii itategemea kuongezeka endapo Kama utapiga bati kwa angle kubwa)
Swali lingine lolote unalotaka kuuliza kuhusu unenzi uliza. Mimi ni contractor niliyeshindikana
 
Embu nitafte wasup tuchat 0654097509
 
Na eneo lenyewe ni tambarare halipo katika mwinuko sasa sijua hizo tofali 800 zinaingiaje mana sitaki mambo mengi Hali ya mfuko haiko vzr
 
Boss, sio kwamba tofali 2,600 kwa hiyo ramani ni nyingi kidogo! Umefanya wastani wa tofali 133 kwa mzunguko mmoja wa msingi sio? Kama kiwanja ni tambarare, hesabu inaweza kushuka kidogo?
 
Na eneo lenyewe ni tambarare halipo katika mwinuko sasa sijua hizo tofali 800 zinaingiaje mana sitaki mambo mengi Hali ya mfuko haiko vzr
Hata Hali ya mfuko iwe mbaya, hapo kwenye Msingi utatumia Tofali 800 kwa maana nimepigia course 6.
Bora uharibu kwingine lakini sio kwenye msingi
 
dah upo vizuri mkuu
 
Boss, sio kwamba tofali 2,600 kwa hiyo ramani ni nyingi kidogo! Umefanya wastani wa tofali 133 kwa mzunguko mmoja wa msingi sio? Kama kiwanja ni tambarare, hesabu inaweza kushuka kidogo?
Tofali 2600 ni jumla ya Msingi na boma. Hiyo nyumba pia sio ndogo sana, kumbuka Ina vyumba vitatu vya kulala , sebule na jiko
 
Sebule ni mita 4 kwa 3.5,
Master ni mita 4 kwa 3.5 (hapa unaweza fanya adjustment)
Vumba vya kawaida ni mita 3.5 kwa 3
Jiko ni mita 3 kwa 2
Inacheza humo
Hivyo urefu wa nyumba kwa upana ni mita 11 kwa 8.7
Kwa hesabu hii boss, na kama kozi zitakuwa 20, basi 2,600 hamna namna, ila kwakuwa tajiri kasema hataki mambo mengi, mpunguzie kozi 3, zibaki 17😄
 
Kwa hesabu hii boss, na kama kozi zitakuwa 20, basi 2,600 hamna namna, ila kwakuwa tajiri kasema hataki mambo mengi, mpunguzie kozi 3, zibaki 17[emoji1]
Akikwepa nilichomueleza basi sawa ni hiari yake. Ila nyumba za urefu wa chini ya mita 3 zilishapita wakati wake.
Alafu Tofali 2600 mbona chache sana na wala sio gharama kivile
 
Nimekubali, UMESHINDIKANA.

Jiniazi Jenta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…