E EllySkyWilly JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 2,204 Reaction score 2,085 Oct 5, 2020 #1 Habari za leo wakuu, Kama nilivyo ahidi kwamba bado naendelea na mradi wa uchoraji wa ramani. Ambapo nimefanikiwa kuchora ramani za nyumba 20 mpaka sasa. Na hii ni moja ya nyumba moja ambayo naendelea kuipamba zaidi.
Habari za leo wakuu, Kama nilivyo ahidi kwamba bado naendelea na mradi wa uchoraji wa ramani. Ambapo nimefanikiwa kuchora ramani za nyumba 20 mpaka sasa. Na hii ni moja ya nyumba moja ambayo naendelea kuipamba zaidi.
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Oct 13, 2020 #3 Usiseme unaendelea kupamba sema unaendelea kuongeza gharama za ujenzi kwenye mchoro wako.
trust 1 Member Joined Aug 5, 2017 Posts 84 Reaction score 73 Oct 13, 2020 #4 Mkuu kwa nini usijifunze kimyakimya siku ukianza kujuajua ndio uanze kupost, sikukatishi tamaa ya kujifunza ila hapo bado sana pambana sana aisee.
Mkuu kwa nini usijifunze kimyakimya siku ukianza kujuajua ndio uanze kupost, sikukatishi tamaa ya kujifunza ila hapo bado sana pambana sana aisee.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Oct 21, 2020 #5 kalipeni said: Usiseme unaendelea kupamba sema unaendelea kuongeza gharama za ujenzi kwenye mchoro wako. Click to expand... La! La! La! La!
kalipeni said: Usiseme unaendelea kupamba sema unaendelea kuongeza gharama za ujenzi kwenye mchoro wako. Click to expand... La! La! La! La!