becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 749
- 991
Ahsante kwa ushauri, lakini naona kama vile ukiweka plan inakua kama nishatoa biashara yenyewe mana biashara ndio plan kaka, ukihitaji plan na more detail tuwasiliane nikupe 2D plan.2D maps ndiyo zipo more descriptive.
Hizo ni picha za nyum
Nimekuelewa.Ahsante kwa ushauri, lakini naona kama vile ukiweka plan inakua kama nishatoa biashara yenyewe mana biashara ndio plan kaka, ukihitaji plan na more detail tuwasiliane nikupe 2D plan.