24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
wadau kama kuna mtaalamu wa kudesign barbershop ili iwe na mwonekano wakuvutia ani-PM
Ingia Tu saloon Angalia Walivyo design Na Wewe Uige... FULL STOP
saidianeni vijanaDau dogo sana bro kilo 150 kitu km hailipi vile
Sema unahitaji, mjengo au interior design tu, nipigie 0787459850