Habarini wanajamvi? Hongera kwa uhai, naombeni ramani ya vyumba vitatu ramani ya kisasa yenye, • Sebule kubwa ya kiasi chake na dainng • master yenye dressing room na toilet • room moja iwe master pia • Public toilet • Jiko na stoo • room ya kawaida • study room ~ Ndo nawaza kiwanja mwaka huu...