Nipeni muelekeo nataka nifike Temeke Sokota kwa dada zangu wale, nasikia tu ila sipajui aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
Manzesehivi DSm sehemu gani nitapata chumba cha bei ndogo kabisaaaaa yani,, let say cha 15k au 10k kwa mwezi?
Amani bro nataka nije huko nianze maisha mapya